Kauli inayomgharimu Hadji Mponda dhidi ya Madaktari

Madaktari ni makanjanja tu. Sasa itakuwa mchezo kila idara ya serikali iwe inampa rais masharti huo ni upuuzi

Sent Item analia, Mponda ndo Mshua nini? Au ulikukatia tiketi ya ndenge kwenda kuangalia Mechi ya Taifa Star Vs Kameruni??? Pole sana
 
Nafikiri kama kila kada ikiamka kama madaktari nchi itasogea! Tumshinikize bosi atuletee mawaziri wawajibikaji, walimu vp nyie mawaziri wenu wanawafaa? Kama vp uwasheni na nyinyi!
 
Unauliza rais ni nani kweli wewe chai ya rangi. Wakifukuzwa hao mawaziri ndiyo matatizo ya madaktari yataisha au wakija mawaziri wapya watakuja na pesa za kutoka mfukoni mwao kuwapa hao madaktari makajanja wakati bunge la bajeti limeishapita.? Punguza gongo wewe.

Hapo ndipo unapokosea, wakifukuzwa matatizo ya madaktari yataanza kutatuliwa maana waliopo wameweka visasi na kiburi, yaani umekaa wizarani mwaka mzima na hata hujui matatizo ya madaktari ni nini?( according to Waziri mkuu). Ina maana hajasoma report za wenzake au report kulikuwa hamna au ni ule uvivu wa kusoma?

Huduma zimedumaa na kuwa mbaya zaidi mahospitalini tangu hawa mabwana waliposhika uongozi wa hiyo wizara hivyo wakitoka hapo labda atakayekuja ataangalia chanzo cha huduma kudoda ni nini!

Usidanganyike na propaganda za eti madaktari wanadai nyongeza ya mshahara! La hasha!! zunguka mahospitalini utagundua kinachodaiwa, ninajua weye ni mmoja wa unaotibiwa nje so why bother kuboresha huduma za hapa kwetu?
 
Unauliza rais ni nani kweli wewe chai ya rangi. Wakifukuzwa hao mawaziri ndiyo matatizo ya madaktari yataisha au wakija mawaziri wapya watakuja na pesa za kutoka mfukoni mwao kuwapa hao madaktari makajanja wakati bunge la bajeti limeishapita.? Punguza gongo wewe.

Huwezi kuwadhalilisha namna hiyo madaktari wanaolinda maisha yako. Kwani Mponda ni nani hadi asiwajibike kwa wizara anayoiongoza? Let him go
 
Unauliza rais ni nani kweli wewe chai ya rangi. Wakifukuzwa hao mawaziri ndiyo matatizo ya madaktari yataisha au wakija mawaziri wapya watakuja na pesa za kutoka mfukoni mwao kuwapa hao madaktari makajanja wakati bunge la bajeti limeishapita.? Punguza gongo wewe.

Ulikuwaga unafaulugu mitihani shule ya msingi kweli?
 
Kama huyu mtu ni muhimu hivyo kwa rais ( kwamba yupo radhi baadhi ya watanzania wafe kumlinda) si amhamishie wizara nyingine kama ya madini au ujenzi au ampe ulaji meingine wowote hata ubalozi wa marekani au uingereza ili atuondolee hili balaaa!
 
Ni kweli anawajibika jimboni, kwani uongo? na Nkya naye wanataka ajiuzulu kwa nini? Naona madaktari ni wapuuzi fulani hivi!
 
Acha upuuzi wewe hiyo kauli ndiyo iwe sababu hao madaktari ni makanjanja tu, huwezi kumpa Rais masharti.

Kwa statement hiyo unaonesha jinsi ulivyo na fikra finyu! Rais alitakiwa kumwondoa Dr. Mponda mapema kabla hata ya kupewa masharti sio tu na madaktari bali watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao.
 
mbona kuna wizara kibao ambazo hazihusiki na maisha ya watu?
aunde wizara mpya aiite uuzwaji wanyama hai ampatie,mbona atameki bingo tu?
 
Back
Top Bottom