Kauli hizi za Governor wa Benki Kuu zinadhalilisha taaluma yake na kuhadaa wananchi

It is true we have two sets of T. shs.500 notes in circulation ;the older set being in better condition than the newer one!!!
Sababu tutayoelezwa na wataalamu wetu ni kwamba 500 mpya kuchoka zaidi ya zile za zamani ni kuwa hizo mpya zinashikwa sana kuliko zile za zamani mana wananchi wanang'ang'ania mpya kuliko za zamani. Hivyo mpya shart zichoke zaidi. Simple!
 
swali la msingi lilikuwa ni kujiuliza, kwa nini toleo la zamani la pesa zetu hazichakai haraka kama toleo hili jipya?

Benki kuu wangepata jibu la hili swali wasingewaza kufikiria kutoa sarafu ya TZS.500. maana kama tatizo la msingi halikutatuliwa, nina kuhakikishieni hiyo sarafu ya 500 nayo itapata kutu na kumomonyoka ndani ya wiki hata ikiwa imetunzwa kwenye "sefu."
 
Bank kuu ni bank inayojitegemea. Na moja biashara yake ni kutoa pesa. sasa nyinyi msio fanya hiyo biashara mnataka benki ifanye mnavyofikiria.

Kutoa pesa kila mnwaka? Acha utani wakati watu wako serious. Kwanza baada ya uchaguzi waliongeza pesa kwenye mzunguko kwa kuchapisha noti mpya amabozo mzunguko wake unaenda sambaba na za zamani. Hii ni kusema kuwa pesa za zamani na mpya zote ziko kwenye uchumi...huoni kuwa hapo ni uchumi wa Ki -Idd Amini unaendelea...yaani mkikosa hela mnaprint more money
Mbaya zaidi, pesa hizi zinataka kutolewa miezi michahche tu kabla ya uchaguzi wa ndanio wa CCM...you do not require a degree to smell a rat here !!!
 




Huu utafiti kaufanya lini kujua kuwa 500 inazunguka zaid?????Anataka kusema ikitokea siku 10,000 ikawa inashikwa/inazunguka zaidi ya 5,000 atabadilisha noti ya 10,000 kuwa coin kabla ya kubadilisha noti ya 5,000 ambayo haishikwi sana kuwa coin????Mbona hawazifanyi sarafu za tsh 1, 5, 10, 20 kuwa noti???si hatuzishiki sana??? Kwanini anaficha ukweli kuwa mabadiliko hayo yanatokana na either kushuka kwa thamani ya fedha za Tanzania au poor quality ya noti zetu???

Kauli hizi binafsi naziclasify kama zakibabaishaji hasa kwa kuwa zimetolewa na Prof. ambaye pia ni mtendaji mkuu wa Central Bank ya Tanzania. Wataalam wa mambo ya uchumi tusaidieni, kuna ukweli wa maneno ya huyu mzee??? USA wanatumia $ 1 ya noti, $ 5 ya noti wao hizi hazipo kwenye mzunguko mkubwa??? Mbona hawahangaiki nazo kuzifanya sarafu??

Hii kali:lol:
 
Ndugu yangu hili swala lipo wazi na BOT walitolea ufafanuzi mara kibao.

Pesa za zamani zinaondolewa kwenye mzunguko kidogo kidogo, pale ambapo zinafika BOT zikionekana zimechoka wao wanazikamata wanabaki nazo na ku zi destroy. Sasa wewe ulitaka wapite mitaani na vuvuzela wakitangaza wenye noti za zamani waje tuwabadilishie?

NI utaratibu wa kawaida itafika wakati zitaisha zote zitakuwa mpya.

Kwa watu makini, lazima wangeweka cut off time ya kutumia noti za zamani. Kwa nini ndani ya nchi tutumie noti aina mbili tofauti of the same face value kwa takriban mwaka sasa???. Sasa kulikuwa na haja gani ya kuchapisha aina mpya ya noti kama zilikuwa zinafaa hizo za zamani? Huu ndo ubabaishaji tunaoupigia keleke.

Kwani haiwezekani watu kupeleka minoti yao ya zamani bank na kupewa mpya. Mbona hadi leo bank wanatoa noti za zamani? Na huitaji vuvuzela hapa ndugu! Hatuwezi kufanya kazi moja milele, utapima vipi ufanisi??? Tubadilike. Govana Ndulu unajitia aibu mwenyewe
 
mi nafikiri bot wanaona aibu kubadilisha not nyingine. kwamba zitakua aina tatu kwenye mzunguko hivyo wanaona bora kuleta kon kuliko not mpya.
 
Mimi kama mchumi sina shaka na usemi wa note ya mia tano inamzunguko mkubwa kuliko
note zingine. Ukweli unaweza ukaupata kwa njia hii panda daladala angalia wangapi wanatoa 500
against other notes (compare 500 na 1000, 2000, 5000, 10,000) utagundua wanaotoa ama kurudishiwa
note ya mia tano ni wengi. nenda sehemu ingine yenye mkusanyiko wa watu wengi hasa wa kipato cha chini
utaliona hilo

Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni kutumia kigezo cha kuchakaa kwa note hiyo na kubadilishwa kuwa sarafu
hapo ndipo napaa taabu kidogo. Kwa nini Prof anamumunya maneno badala ya kusema hela yetu imeshuka
thamani hiyo tunataka kuiondoa kwenye mzunguko?

Kama kuchakaa kwa note kisa mzunguko ni mwingi, kuna mambo mawili yanaweza kufanyika
kutoa elimu kwa umma hasa wajasiriamali wadogo namna ya kutunza hela za note (500, 1000,2000, 5000, na 10,000)
hii itapunguza garama za uchapaji wa note za kurudisha kwenye mzunguko.

Pili kuimarisha ubora wa note hizo kwa kujua kwamba ndizo zenye mzunguko mkubwa kwenye soko la hela
na sio kuchapa coin. Gharama ya kuchapa coin na kuanza kuziweka kwenye mzunguko ni kubwa
kuliko kutoa elimu.

Nawasilisha
 
Mbona bado unaboronga tu. Noti siku zote zinakuwa kwenye circulation kwa muda fulani. Vilevile uchapishaji unaendeshwa na benk ambayo hiyo ni biashara yake. Hivyo hakuna ufisadi wowote ule.

Kwani kiwanda cha soda kikibadilisha kutumia chupa za kioo na kuanza kutumia plastiki, mlaji anapata hasara gani?
Wewe nadhani kuna faida unaitegemea toka kwenye tenda itakayotangazwa,hoja za jamaa zimesimama
 
mwenzie wa kenya Anashutumiwa kushirikiana na mabenki kupunguza dhamani ya kshs ili kupata faida kubwa, sasa sijui sisi katika miaka ishirini mara ngapi yamefanyika na hatua gani zimechukuliwa na wabunge kupinga hilo?
  1. [h=3]CBK boss must go, says House team | TradeMark SA[/h]
  2. CBK boss must go, says House team | TradeMark SACached
  3. You +1'd this publicly. Undo
  4. 15 Feb 2012 – Nairobi: Central Bank of Kenya governor Njuguna Ndung'u's job is on the line over ... resign, accusing him of allowing banks to manipulate the currency to make super profits at the expense of millions of Kenyans. ... Mr Adan Keynan, the chairman of the parliamentary Committee on the Depreciation of the ...

  5. [h=3]Flight of Sh17bn in foreign currency sparked shilling's rapid fall as ...[/h]


    www.trademarksa.org/.../flight-sh17bn-foreign-currency-sparked-shi...Cached
    You +1'd this publicly. Undo
    17 Feb 2012 – Panicky importers rushed to buy dollars and some banks with a finger on ... million) flowed out of Kenya before the drastic fall of the shilling last October, ... Africa David Cowan in a client report – that favoured economic growth. ... into the depreciation of the shilling, the same banks were accused of having ...



  6. [h=3]International Monetary Fund - Wikipedia, the free encyclopedia[/h]


    en.wikipedia.org/wiki/International_Monetary_FundCached - Similar
    You +1'd this publicly. Undo
    In 2008, faced with a shortfall in revenue, the International Monetary Fund's executive board ... After the board of governors has adopted the membership Resolution, the ... in favour of the fast-growing, cash-rich, so-called BRIC economies of Brazil, .... Fourthly is the accusation that harsh policy conditions were self-defeating ...


  7. [h=3]The Standard | Online Edition :: MPs, Equity Bank boss clash in ...[/h]


    The Standard | Online Edition ::...Cached
    You +1'd this publicly. Undo
    30 Jan 2012 – Equity Bank's managing Director James Mwangi on Monday ... year when MPs accused him of receiving favours from the Kibaki regime, ... Kenya and refusing to identify the actual triggers of the†depreciation. ... We know the influence of Dr Mwangi in government and his relationship with the CBK governor.

 
Nina mashaka sana na matu anayeitwa ZAKUMI...aidha:
-haishi Tanzania, au
-ana uhusiano wa karibu na Bwana Ndulu, au
-ni mwajiriwa wa BoT!
Wakati wakitoa hizi noti mpya za juzi, Ndulu alilieleza Taifa kuwa hizi noti ni za quality ya juu sana, na utengenezaji umezingatia viwango vya kitaalamu katika fani hii, na ili kuweka msisitizo akaweka terminologies za ki'Finance, tukaamini kuwa huenda kuna ukweli.

Swali ni kwamba kwanini noti hizi mpya zinachakaa na kuziacha za zamani zikiwa nzima?

Mi nachukulia kuwa Ndulu ameona aibu juu ya fact hiyo, na ameamua kuhamia kwenye coin kama kichaka cha kukwepea aibu hiyo. Katika hali ya kawaida, kuibadili hela kuwa coin kunaishusha thamani sana.
Maamuzi haya yanafanyika kirahisi kwa vile hayawahusu wao kwa effect', bali yanawahusu kwa upande wa kutajirika kupitia tenders na 20%!

PHP:
Rais hausiki na mamlaka ya benk
Naishangaa hoja ya ZAKUMI kuwa Rais hana mahusiano na BOT!...my parts!... Gavana anateuliwa na nani?..Au unataka uhusiano wa kivipi?...huh!

Ni hivyo tu!

Mashaka yako kuhusu mimi yanahusina vipi na mada? Benk kuu ndio ina-set monetary policies ya nchi. Niambie kutumia coins kuna ubaya gani? Sio unasema tu coins ni mbaya au kuna ufisadi.

Niambie kuna ubaya gani na tena kitaaluma.
 
Kutoa pesa kila mnwaka? Acha utani wakati watu wako serious. Kwanza baada ya uchaguzi waliongeza pesa kwenye mzunguko kwa kuchapisha noti mpya amabozo mzunguko wake unaenda sambaba na za zamani. Hii ni kusema kuwa pesa za zamani na mpya zote ziko kwenye uchumi...huoni kuwa hapo ni uchumi wa Ki -Idd Amini unaendelea...yaani mkikosa hela mnaprint more money
Mbaya zaidi, pesa hizi zinataka kutolewa miezi michahche tu kabla ya uchaguzi wa ndanio wa CCM...you do not require a degree to smell a rat here !!!

Uchumi ni dynamic system. Na mambo yaliotokea miezi sita iliyopita, yanaweza yasifanye kazi sasa. Hivyo Governor ana sababu ya kuendelea kushikilia sababu alizotoa mwaka jana wakati vitu tayari vimebadilika.
 
Kwa Tanzania yetu hapo hapakosi ufisadi, kuna suala la kuongeza idadi ya noti zinazotakiwa kuchapishwa, au umeshasahau huu ni mchezo wa kawaida wa BOT inapotokea uchapishwaji wa noti????? Kuna kuongeza bei halisi ya uchapishaji wa fedha hizo etc. Yapo mambo mengi sana dubious hapo kwenye huo mchakato.

Kwanini nitoe tuhuma wakati kitendo hakijafanyika?
 
Hivi kweli Zakumi unaongea kwa ukweli wa mambo ulivyo au wewe ni mmojawapo wa wenye maslahi na BOT? Siamini argument zako hapa kama kweli unashindwa kuelewa point anazotoa mwanzilishi wa hii thread. Unajua noti za US zinakuwa kwenye circulation kwa muda gani lakini? Sasa iweje baada ya kuwahakikishiwa Watanzania kwamba noti zilizochapishwa ni high quality leo tuseme unajua zinachakaa haraka! Hivi hujui kutengeneza sarafu maana yake tenda nyingine hiyo, ambayo ni kodi anayolipa mwananchi?

Jamani, hebu kuweni wa kweli. Tunajua humu ndani tupo wachukia ufisadi na wafaidikaji na ufisadi, lakini vitu vingine vya kifisadi ni aibu hata kuvitetea.

Matamshi ya kuwa noti ni high quality aliyatoa kama miezi sita iliyopita. Kuna mambo mengi ya kiuchumi yametokea. Kama thamani ya pesa imeshuka kwanini Benki itumie gharama kubwa kwa pesa ambayo haina thamani?

Kuhusu mambo ya wachukia na wapenda ufisadi, naomba uniondoe katika mjadala huo. Natumia uhuru wangu wa kujieleza na kuwa tofauti na wewe.
 
Sababu tutayoelezwa na wataalamu wetu ni kwamba 500 mpya kuchoka zaidi ya zile za zamani ni kuwa hizo mpya zinashikwa sana kuliko zile za zamani mana wananchi wanang'ang'ania mpya kuliko za zamani. Hivyo mpya shart zichoke zaidi. Simple!

Hivi unajua kuwa hizo noti mpya tangu ziingie zimechukiwa na watu wengi, matter of fact 500 ya zamani inashikwa sana kuliko hiyo mpya, hasa ukichulia kuwa zimekuwepo muda mrefu.

Mtajitahidi sana kutetea ubabaishaji wa Ndulu lakini mwisho wa siku ukweli utabaki palepale, noti mpya hazina ubora na pesa imeshuka thamani, hili hata mtu mwenye kichaa analijua.
 
Zakumi hivi benki kuu unasema biashara yake ni kutoa fedha/kuchapisha fedha je huwa wanaziuza na kupata faida? jibu litakuwa hapana lakini kwako naona litakuwa ni ndio.
 
Back
Top Bottom