Kauli hii ya Wilson Mukama...

Katibu mkuu wa ccm anawasilisha taarifa ya utekelezaji na mafanikio ya chama kwa kipindi cha miaka 5.mengi anayoeleza ni uongo.kwa mfano,anasema wameanzisha mkoa wa vyuo vikuu kwa mafanikio makubwa sana.anasema wamewateka wanachuo kwa asilimia 100 ndiyo maana chadema hawaendi tena huko.ni ajabu mno.mbaya zaidi anaeleza uongo akiwa serious.
 
Back
Top Bottom