Kauli dhidi ya Malawi: JWTZ wamshushua Lowassa!

Mazee mi nitaomba tenda ya kusauply wese. vita ikkisha matumizi trilion 10, ooh hamjui kuwa hata mgawo wa umeme feki upo ili tuuze wese.
 
kama Membe alikwisha toa kauli ya serikali kulikuwa na haja gani ten EL kurudia kauli ileile? Mjukumu ya mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Bunge hayajulikani? Kama yanajulikana, na kama amevuka mipaka ni nani wa kumuonya dhidi ya upotofu huo? Kamati hiyo inawajibika kwa nani? EL hajaliamrisha Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenda vitani, kwa nini JWTZ wanaona wajibu kabla kuulizwa au kuelekezwa chochote? Kusema Jeshi letu ni imara kunawza kufanywa na mtu yeyote hata asiye na madaraka yoyote wala uhakika wowote wa kauli hiyo, je ni kosa? Je ikiwa atasema Jeshi letu ni dhaifu atakuwa sahihi?
Kauli hiyo ikisemwa na EL au JK kutabadili ukweli wa hali halisi ya Jeshi lilivyo?

Jeshi letu ni Imara.Tuna vijana imara ambao wako tayari kuilinda mipaka ya nchi yetu. Naamini sijakosea. Sijui shida iko wapi ukiamua kujivunia jeshi lako.
 
Nadhani Jeshi lishajifunza kukaa kimya kwao Kunawakera Wadau...

Tatizo Jeshi limekaa ki siasa zaidi Shimbo yupo wapi siku hizi? au hadi wakati wa uchaguzi tu? Bwana Matrillion
 
Good, hebu mwambie huyo mnafiki aliyetumwa na CCM. Mkwara wa Lowasa umesaidia sana. Wewe unategemea JK angesema, angesubiri mpaka watu wachukue Ruvuma yote, Iringa, Mbeya, labda wangeanza kutaka kuiteka Morogoro ndiyo angewaita Wazee wa DSM kuwaeleza msimamo wa serikali.Si ndivyo anavyofanya. Acheni unafiki enyi vibaraka wa JK, TZ ina watu makini wengi sana. Yaani EL, Membe na Sitta wameleta heshima ya nchi.Acheni ubishi wa kijinga.
Agree with you Mkuu, dhaifu anaweza kupewa safari USA, EU akawa anachekacheka tu...Joyce Banda akaingia as you said, mpaka Magogoni ndio dhaifu angestuka
 
Jeshi letu ni Imara.Tuna vijana imara ambao wako tayari kuilinda mipaka ya nchi yetu. Naamini sijakosea. Sijui shida iko wapi ukiamua kujivunia jeshi lako.

Jeshi hatuna kama hatutaweza kulinda mpaka huu.
 
Lowasa amefanya dhambi gani kuongea kama raia mwema! Mimi naishangaa sana mitanzania inayopiga kelele na kufyata mikia ooh hakuna haja ya vita......... sasa wachukue ziwa lao!! Hakuna anayetaka vita. Wamalawi wanatuprovoke na wanataka 100% ziwa! Kuna watz zaidi ya 600000 wanapata riziki zao ziwa nyasa!
Tunababaishwa na mipaka feki ya wakoloni hapa
Kikwete kasema nini so far? MiTZ bwana uzalendo wenu uko wapi
 
walikuwa wanamkandia sana EL leo hii Jk anasema utumbo tu.
 
Lowasa amefanya dhambi gani kuongea kama raia mwema! Mimi naishangaa sana mitanzania inayopiga kelele na kufyata mikia ooh hakuna haja ya vita......... sasa wachukue ziwa lao!! Hakuna anayetaka vita. Wamalawi wanatuprovoke na wanataka 100% ziwa! Kuna watz zaidi ya 600000 wanapata riziki zao ziwa nyasa!
Tunababaishwa na mipaka feki ya wakoloni hapa
Kikwete kasema nini so far? MiTZ bwana uzalendo wenu uko wapi
Aliyekuambia uzalendo unadhihirishwa kwa ugomvi ni nani?
 
Jeshi letu ni Imara.Tuna vijana imara ambao wako tayari kuilinda mipaka ya nchi yetu. Naamini sijakosea. Sijui shida iko wapi ukiamua kujivunia jeshi lako.

Usifanye upotoshaji wa makusudi, lowasa alisema Jeshi limemthibitishia kwamba liko tayari kwa lolote, akiwa kama anamaanisha kwamba amelikagua na viongozi wajuu wa jeshi wakamthibitishia uimara wa jeshi. yeye kama nani?
 
Back
Top Bottom