Katuni ya Leo

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
KATUNI(361).jpg

Hakika suala la ruzuku ni balaa!!!!
 
Safari hii CCM kikidhania ya kwamba Dowans nayo ni kuku laini basi ndio wasubiri kuingiza sumu midomoni mwao wenyewe.
 
laiti wote tungelijua nguvu iliyo kenye katuni kwenye suala la kurahisisha uelewa, basi wachora katuni wetu pia wengeletewa 'mwalimu' kutoka nje kama raisi alivyofanya kwa maximo, riadha na netiboli. ...au liko kwenye mpano???
 
Mbona hakuna gumu hapo? Makamba alikuwa natarajia kuku mzima (JK 80.3%) kaambulia kipapatio (JK 61%)....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom