Katuni ya kipanya ya leo kwenye mwananchi nimeipenda sana

Wazee mmeiona katuni ya kipanya leo kwenye gazeti la mwananchi ukurasa wa 6,ipo safi sana! Eti CHADUMAA wanazika tu watu kwa siasa zao zinazofanikiwa sana kwa sasa za umwagaji damu ya watanzania maskini na wenye uelewa mdogo

Ujumbe wake hauna mshiko kihiiivyo! Kumwaga damu si vizuri, lakini hata usipomwaga damu, damu yako itakaushwa mwilini na utazikwa vilevile na hao wakausha damu. Tena wakausha damu wanauwezo wa kukausha damu ya watu wengi zaidi kuliko ya wanaomwaga damu. Unaweza ukamwaga damu ili wakausha damu wasiwe tena na chance ya kukausha damu za wanyonge. Watu wamechoka na wachache wamehamua kumwaga damu zao ili damu ya wengi isiendelee kukaushwa na watu wachache. Watu hawaogopi tena vitisho, kwani kufa ni kufa tu, au umekufa kwa kumwaga damu au kwa kukaushwa damu vyote ni vifo, ila wanaokufa kwa kukaushwa damu wamekuwa ni wengi ndio maana sasa watu wamehamua kujitolea kumwaga damu zao ili kuwanusuru wengi zaidi kukaushwa damu zao na watu wachache.
 
Hajatumwa ipo gazeti la mwananchi kwani mkuu husomi magazeti?

kakusema wewe au waliotumwa shurti mteteane? Unawalazimisha watu kwa kikauli,eti ununui/usomi gazeti?poor reasoning. Gazeti lenyewe lipo online ww wakimbilia kununua /kusoma,ishu ni subject matter ya thread na si gazeti,au umeambiwa tunafanya uchambuzi wa gazeti?? Waliotumwa wote mna lebel,kila uandikapo ndo inatokea ya kwanza,kazi mnayo.
 
katuni huwa hazitafsiliwi kwa kuangalia picha iliyochorwa tu,kuna utaalamu wa kuzitafsiri,ukichangiwa na uwezo binafsi wa kuelewa,kama huna vyote viwili ndio unaishia kuwa hivyo,hebu iangalie vizuri then oanisha na matukio yaliyopo halafu tumia uwezo wako wa kuelewa ndio uje na kitu cha kutueleza
 
mtu akiihoji chadema, basi anafanya fitna na majungu eeh? kazi kweli kweli
hii ni hatari kama hamtaki chama chenu kihojiwe.

tatizo la watu wenye minyoo kama wewe huwa hamuelewagi hata mpasuliwe vichwa. Nani kasema hataki Chadema ihojiwe? Kuhoji ni haki ya kila mtu, but ni vizuri tukapima hizo Arguments ni Inductive au Deductive. And that is wher discussion of Kipanya's illustration is. Jifunze mambo acha kukurupuka. Pumbav! Nenda shule!
 
Wazee mmeiona katuni ya kipanya leo kwenye gazeti la mwananchi ukurasa wa 6,ipo safi sana! Eti CHADUMAA wanazika tu watu kwa siasa zao zinazofanikiwa sana kwa sasa za umwagaji damu ya watanzania maskini na wenye uelewa mdogo
nimeona ya tar 28 may 2011 ya Ccj
 
Wazee mmeiona katuni ya kipanya leo kwenye gazeti la mwananchi ukurasa wa 6,ipo safi sana! Eti CHADUMAA wanazika tu watu kwa siasa zao zinazofanikiwa sana kwa sasa za umwagaji damu ya watanzania maskini na wenye uelewa mdogo

wekeni hiyo katuni hapa kwanza tuione wote halafu ndio tucomment. Wengine tunaishi off the land. Gazeti la mwananchi la leo tutalipata k/kutwa
 
Ile katuni si mbaya in fact kipanya anaiuliza chadema ilimalizanaje suala la Arusha?
kama hafatiliagi vyombo vya habari Kamwambie swala liko mahakamani na kuhusu Meya fake wa arusha Pinda na Mbowe bado wana jadiliana siku yoyote lina weza kuibuka tena siku likiibuka litakuwa na kishindo maana tukiandamana safari hii haturudi nyumbani mpaka kieleweke.....
 
1601448167712.png

Bado sijaelewa hii.
 
Back
Top Bottom