iko wapi sasa, mbona haionekani?
The following cartoon tells it all !!!!
This is the true representation of the civil society at its very basic level !- anakosekana tu mtukuu aliyefia Tabora kwenye disco. Je, serikali ya JK bado ina uhalali wowote wa kuendelea kubaki madarakani ? Natoa hoja JK avunje serikali kisha ajiuzulu tuweze kuendesha uchaguzi mwingine. Hivo ndivyo wanavyofanya wastaarabu duniani kote - ila nchini kwetu kwa kuwa serikali ya CCM haina hata chembe cha ustaarabu, masikini Tanzania !!
Mag3
Heshima mbele mkuu...hii katuni inaonyesha ubunifu wenye kipaji cha level ya juu sana.
Kweli unaamini JK akisimama kwenye uchaguzi mkuu mpya kesho hatashinda kwa kishindo tena? Mkuu unatujua Watanzania kweli..??!!
Kweli unaamini JK akisimama kwenye uchaguzi mkuu mpya kesho hatashinda kwa kishindo tena? Mkuu unatujua Watanzania kweli..??!!
atashinda kwa kura nyingi kwa sababu kuu mbili 1. Anaopambana nao nje ya ccm siyo strategist wazuri ktk mingoling ya siasa zetu na hasa pale ccm inapokuwa united front against mpuuzi yeyote mbele yao, hofu yangu ni wapainzani kupungua bungeni hilo ninaliona kwa kasi linakuja. 2. Wa-tz tumejaaliwa kutafakari beyond mashaka ya kibinadamu, na kama utapiga kura kwa kufuata mtindo huu basi jk atashinda na wabunge wake maana wapiga kura wasio na jazba kama tarime kamwe hawawezi kumpitisha mpinzani ambaye kwao daima anaonekana ni mtu asiyetayari kuongoza na kutawala zaidi ya kulalama. Ni maoni yangu tu kama mtz na mzingatia wasifu wetu asilia.
Maoni yako ni sahihi kabisa, wapinzani wana safari ndefu ( strategically ) kabla ya kuiong'oa CCM.
Binafsi naamini wapinzani wa kweli watatoka ndani ya CCM yenyewe
Maoni yako ni sahihi kabisa, wapinzani wana safari ndefu ( strategically ) kabla ya kuiong'oa CCM.
Binafsi naamini wapinzani wa kweli watatoka ndani ya CCM yenyewe
atashinda kwa kura nyingi kwa sababu kuu mbili 1. Anaopambana nao nje ya ccm siyo strategist wazuri ktk mingoling ya siasa zetu na hasa pale ccm inapokuwa united front against mpuuzi yeyote mbele yao, hofu yangu ni wapainzani kupungua bungeni hilo ninaliona kwa kasi linakuja.
2. Wa-tz tumejaaliwa kutafakari beyond mashaka ya kibinadamu, na kama utapiga kura kwa kufuata mtindo huu basi jk atashinda na wabunge wake maana wapiga kura wasio na jazba kama tarime kamwe hawawezi kumpitisha mpinzani ambaye kwao daima anaonekana ni mtu asiyetayari kuongoza na kutawala zaidi ya kulalama. Ni maoni yangu tu kama mtz na mzingatia wasifu wetu asilia.
Viko vyanzo vingi vya katuni za kisiasa zenye kuibua mjadala. Tuziletapo JF thread hii yaweza kuwa pahala husika.
Kwa kuanzia naweka hii link hapa(toka Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) sehemu ya KATUNI YA WIKI: Katuni ya Wiki
Leteni nyingi zaidi toka vyanzo mbalimbali ili tucheke huku tukipata ama kutoa ujumbe.
JJ
Mkulu Yebo Yebo,
Heshima mbele sana, kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa either unafanya, unamalizia, au tayari unayo PhD, leo nimekubali kwa sababu haya maneno yako madogo sana, lakini yana darasa kali sana, Bwa! ha! ha! ha! ha! maana ndio exactly political realities zetu bongo,
Respect na Keep It Up mkuu!