Katuni na uelewa wa katiba mpya

tembeleh2

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
765
165
Haya wana JF nimefanikiwa kuiona katuni iliyo andaliwa na mchoraji mahiri sana (kipanya) ikanifurahisha sana, nikaona sina budi kushare na wana JF mtandaoni ili yapatikane maoni kidogo juu ya uelewa wa zoezi hili muhimu lililoanza siku za karibuni. Je ni kweli katiba haieleweki kwa kiwango hiki????
 

Attachments

  • katiba haieleweki.jpg
    katiba haieleweki.jpg
    20.7 KB · Views: 126
Hahahahahaaaaaaaaaaaa Tanzania ni CHI PEKEE ambayo katiba zinachapishwa kwa dokezo, na hata maduka ya serikali hazikuepo hadi kufikia 2011. Je tutafika?
 
Back
Top Bottom