katuni gani inakuuua mbavu?

Kirikou jamaniiiii! Ni story but inafurahisha sana. Plz go buy it, u will luv it!
 
kweli we ni maskini jeuri!! Unapenda sana kuonekana unajue!! Unafikiri alieandika GADO HAKUJUA KAMA NI MTANZANIA? Achaga mbwemwbe basi!

Si kuonekana; ni kujua na ndo msingi halisi wa JF ...kujulishana........ukifuatilia nimejibu hivyo kutokana na credit alizowapa wa kenya kuwa GADO anatokea kwao; kwa faida ya ke na ya kwako nimelisahihisha hilo; swala la mbwembwe ni mtazamo wako.............mbona hujawasema waliotoa autobigraphy za Tex kuwa wanajua na kama hutaki kujua...............kinachokufanya usome comments humu ndani kitu gani? Acha utoto!
 
la levencha,
rebeca
hidden passion
nazipenda sana hizi, huwa sizikosi
 
Katuni za Gado wa Daily Nation,Poppeye na huyo kwenye avatar yangu D the menace,Katuni za James Gayo na Chezo (Ibra)
 
Hawa nao vunja mbavu sana

Tweety-Sylvester-Print-C10069972.jpg
 
Kaka LEO umenigusa juu ya hivyo vichwa hapa bongo ila kuna mtambo mmoja unachora sana Mwanaspoti jamaa anaitwa Chris Katembo!
 
Hi y'all,

Kwangu mimi hakuna kama 'Yosemite Sam' na 'Roadrunner'. Hizo ni tops!!
 
Chakubanga, Polo, Bushiri na vidosho wao wa miaka ya zamani, ndani ya 'Uhuru na Mzalendo'. Pure top class comedy!!
 
toppera-tpr-courage-the-cowardly-dog-cartoon-network-hustus.jpg

Hii kitu nikichezea remote nikaikuta basi naitizama hadi iishe Stupi Dog
 
Back
Top Bottom