Katu sitounga mkono CHADEMA

Mkitaka kumfahamu vizuri huyu kunguru mweusi fungua KATIBA mpya nenda ktk tropic aliyoiandika hivi .... MNATAKA NINI KTK KATIBA MPYA? Hebu fungua hapo uone kama siyo maiti inayonuka!
 
CDM ndio hao hao akina Charless taylor waliomuondoa Madarakani SAMWEL DOO. matunda take Liberia yanaonekana
 
sina imani na chadema kabisa

Una Imani na Chama Kitukufu cha CCM? pamoja na WIZI wa Viongozi watukufu bado Unakikumbatia au wewe pia Umepata

Connection ya kuonja vitu vya Kifisadi? yeah hata Mimi kama ningevipata ningewasuta watanzania wenzangu na

kuwaacha wafe wafaane, as long as i'm fit and fine!!
 
Nadhani huna unacho amini kama uwanaharakati kwako ni tatizo. Upo miongoni mwa wavivu kufikiri. We hufahamu kuwa mwanaharakati ndo mwanasiasa mzuri? Wewe upo nyuma na wakati, eti ubunifu ndo unakunyima kuunga mkono cdm! Mvivu wa kufikiri, Ccm wamekosa ubunifu ndo maana wanatumia nguvu katika siasa. Ndo maana tumeshindwa kusonga mbele.
 
Ungepost kuiunga mkono CDM mpumbavu kama wewe ningewashagaa CDM.
Asante kwa kutambua kwamba hauhitajiki CDM!
 
Sitegemei kabisa kukiunga Mkono Chadema.
a)Wabaguzi
b)Wabunifu wa matukio kuliko uhalisia
c)Zaidi ni wanaharakati kuliko wanasiasa
Thanks

Wewe ni nani kwani? TATIZO HUMU JANVINI KUNA WATU WANATAFUTA SIFA ZA KUFA MTU NA SIFA ZA KUTAFUTIA HUKU HAZINA TIJA KABISA MKUU, KAMA UNATAFUTA SIFA NENDA JUKWAANI TANGAZA HILI HAPO UTAONEKANA,

kwani siasa si harakati? wakina Nyerere walikuwa wanafanya nini? cheki yule mama wa BAMA ni mwanaharakati na ni mwana siasa, Tatizo mnasoma story za waansidhi uvhwara na kueta hizo story humu, NA KAMA WEWE UMESOMA TUTOFAUTISHE SIASA NA HARAKATI UKITOA NA MIFANO HAI NA CHUKUA MIFANO YA WATU WA NCHI ZINGINE

 
Kunguru mweusi, nakuhakikishia kuwa CDM, haikuhitaji na wala haikuwazii kabisa, na ukirogwa uombe kujiunga utafukuzwa kama mbwa. Wewe gamba, endelea kuwa gamba hivyo hivyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom