Elections 2010 Katu Kikwete Hakushinda 2010 nani anabisha?

Ukweli jamani upo pale pale kuwa Mkwere 2010 hakushinda, na dhambi ya wizi daima watz tutaona matokeo yake........

Huu upuuzi kaongelee kanisani, kule ndio kuna muda wa kusikiliza upuuzi kama huu, Alelujaaaa, Amen
 
Hivi ishu ya Gabgo, Kikwete wa ivory coast imeshaje?

mtoa mada asante kwa hoja nzuri.
 
Huu upuuzi kaongelee kanisani, kule ndio kuna muda wa kusikiliza upuuzi kama huu, Alelujaaaa, Amen

Huu sasa ndio udini wenyewe typical sio ule anaosemaga mkwere bila data zozote. Hivi wewe Bull umejuaje kama mtoa mada ni mkristo au labda wakristo ndio wataalam wa kusema huo unaouita upuuzi? You have to grow great thinker and please if you can, make sure your brain is working properly before you use your keyboard.
 
hahahah ashindie wapi.....labda msoga.....dhambi ya wizi ina mhaunt hadi leooo...he is going down!!!!!! deeep down!
 
Huu upuuzi kaongelee kanisani, kule ndio kuna muda wa kusikiliza upuuzi kama huu, Alelujaaaa, Amen

Natamani kukwambia neno lakini sioni haja maana ni mie nitaonekana ****....Kama kweli ulizaliwa sio kosa la wazazi ila kosa la aliekuzalisha......Baba ako ni fisadi mama fisadi, wewe pia fisadi, kila kitu kwako fisadi so umezalishwa na mafisadi nyama mkuu wewe...
 
Nimefikiria hivi siku tukitaka kudai nchi yetu Mkwere atatupa maana sasa imekuwa kila kitu shagharabaghara...
 
Mkwere alishinda vyema tu, sema tumekuwa wepesi sana wa kutaka na kuhalalisha kuwa mahitaji au mawazo yetu binafsi ndiyo mahitaji ya wengi. Pia wengi hapa wameshakua na mrengo wa chama flani hivyi hata akifanya kipi kizuri kitaonekana kibovu tu. Ukweli ni kwamba Dr. Slaa na Mbowe haitatokea wala hawafai kuwa viongozi wakuu wa nchi hii wabaki kuwa viongozi wakuu wa chadema pekee huu ni mtazamo wangu siyo lazima uukubali au uukatae.
 
Huu upuuzi kaongelee kanisani, kule ndio kuna muda wa kusikiliza upuuzi kama huu, Alelujaaaa, Amen
K

Kuna uhusiano gani kwa taarifa za Mkwere kuto kushinda na kwenda kuongelewa Kanisani? Mimi ni Mmoja wa wanaokwenda kanisani. Sijawahi hata siku moja kusikia huko kanisani kukizungumzwa nani kashinda/kashindwa au nai atashinda/atashinda. Kanisani, mwanzo mwisho ni ibada. Sanasana wakati wa mahubiri, mhubiri anaweza kukemea wale wanaoleta hila katika jamii, na lengo ni kuwa na jamii inayo mwogopa na kumwabudu Mungu. Sasa kama wewe umeona kuwa kushindwa kwa mkwere si hoja ya kuzungumziwa jamvini, basi hujui ni wapi inapaswa kuzungumziwa. Maana kanisani (au hata msikitini) kabisa si mahala pake. Jaribu kuongea au kujibu hoja badala ya kupandisha Jazba zisizo tija. Nawasilisha
 
kama hakushinda si aliyeshinda angaapishwa kama yule mshindi wa kweli wa IVORY COAST au hapa ndio umekuwa mtoko wa kisiasa ili watu wajue kuwa hawakushindwa ila wameibiwa!! au tupeni matokeo ya kweli mnayoyajua sio yale ya NEC
 
K

Kuna uhusiano gani kwa taarifa za Mkwere kuto kushinda na kwenda kuongelewa Kanisani? Mimi ni Mmoja wa wanaokwenda kanisani. Sijawahi hata siku moja kusikia huko kanisani kukizungumzwa nani kashinda/kashindwa au nai atashinda/atashinda. Kanisani, mwanzo mwisho ni ibada. Sanasana wakati wa mahubiri, mhubiri anaweza kukemea wale wanaoleta hila katika jamii, na lengo ni kuwa na jamii inayo mwogopa na kumwabudu Mungu. Sasa kama wewe umeona kuwa kushindwa kwa mkwere si hoja ya kuzungumziwa jamvini, basi hujui ni wapi inapaswa kuzungumziwa. Maana kanisani (au hata msikitini) kabisa si mahala pake. Jaribu kuongea au kujibu hoja badala ya kupandisha Jazba zisizo tija. Nawasilisha

Lekanaga nabo namhala....Tusonge mbele Mkwere hakushinda...acha hawa ma ilimu madrasatul...
 
JK hakushinda !!! So!! Raisi wa Tanzania ni Mchungaji Slaaa sioo ?

Pelekeni huu upuuzi kule kwenye majumba yenu yanayohubiri chuki kama hizi, Watanzania wanamjua raisi wao ninani...
 
Natamani kukwambia neno lakini sioni haja maana ni mie nitaonekana ****....Kama kweli ulizaliwa sio kosa la wazazi ila kosa la aliekuzalisha......Baba ako ni fisadi mama fisadi, wewe pia fisadi, kila kitu kwako fisadi so umezalishwa na mafisadi nyama mkuu wewe...

Ndiyo ustaarabu wa kikristo huu? Kutukana wenzio hivyo? Mhhh poleni sana, inaoneshwa umeguswa kweli mpaka unapoteza utu wako, inakuwa hakuna tofauti baina yako wewe na mnyama kwa maneno machafu yanayokutoka.
 
Ukweli jamani upo pale pale kuwa Mkwere 2010 hakushinda, na dhambi ya wizi daima watz tutaona matokeo yake........

Msivyokuwa na haya hata kutaja jina lake mnaona aibu mnataja kabira, ndio kusema ukabila sera ya chama chenu????
na mbona huo ukweli hutuonyeshi??????????
 
Sasa tunataka CHADEMA watoe ushahidi wa zile kura walizosema kuwa wameibiwa. Vinginevyo kama hakuna ushahidi hawana haki ya kuendelea kudai kuwa wameibiwa.
 
PHP:
Msivyokuwa na haya hata kutaja jina lake mnaona aibu mnataja kabira, ndio kusema ukabila sera ya chama chenu????
na mbona huo ukweli hutuonyeshi??????????

jibu hoja ya kimsingi.............................alishinda au alichakachua.........................kama alishinda mbona anagwaya kuunda tume ya kimataifa kama ile ya Kenya kuja kuchunguza utendaji wa NEC hadi kufikia walivyomtangaza.............................aogopa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom