Katika taarifa ya TBC Hawakumwonyesha Hayati Regia kwenye Habari ya Bonde Kilombero japo alikuwepo

Darick

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
222
41
Jamani katika taarifa ya habari ya TBC katika habari kuhusu wananchi wa kilombero kuisihi serikali iwaache wamalizie msimu huu wa kilimo kabla hawajaondoshwa kama ulimuona yule mama aliyekuwa amepiga magoti na kutambaa, na kuongea kilugha akiomba hisani ya serikali alikuwa akitambaa kumwelekea mtu ambaye alimtaja kuwa ni mwanamke mwenzake na anaomba amsaidie wakati akiendelea niliona mguu wa gongo kama lile alilokuwa akilitumia dada yetu Regia. na moja kwa moja nikagundua kuwa alikuwepo kwenye mkutano ule. ila hawakutaka kumwonyesha!! je hi ni kwa sababu za kimaadili au ni nini? kwa maoni yangu naona engekuwa vizuri kama wangemwonyesha ili kuzidi kutufariji kwa kuondoka kwake!! je wewe mdau unaonaje?NawasilishaSource TBC1
 
Lengo la kupost hii silid ni kuonesha kuwa nilishangazwa na hatua y kutokumwonyesha hayati Regia katika uhai wake akitekeleza moja ya majukumu yake ya kila siku, hasa kwa hili ambalo linaonekana ni la hivi karibuni. sipati picha ni kwa nini?
 
Back
Top Bottom