Katika Nchi Ambazo Ugali wa Mahindi ni 'Main Menu' Wanawake Wana Makalio Makubwa

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Huo ndiyo utafiti wangu na msiniulize data nimezitoa wapi. Kwa wale wenzangu na mimi waliotembelea nchi mbalimbali, bila shaka utaunga mkono kwa asilimia mia moja hitimisho hili.
 
Inawezekana kweli manake dear wangu kwa ugali humtoi na amefungasha balaa. Anaweza akakaa hata mwezi anakula ugali nonstop wakati wengine tunakula wali na ndizi.
 
Hahahaha ndo mana huku znz wengi vislim body kwasababu mainmenu ni ubwabwa lol.
 
Kuna tofauti ya kuwa slim body na kujazia makalio. Unaweza kuwa bonge afu ukawa umepigwa pasi inayotumia umeme wa uranium. Ukienda unakuwa kama unarudi. Na unaweza kuwa slim ila umejazia ile mbaya,lol
Hahahaha ndo mana huku znz wengi vislim body kwasababu mainmenu ni ubwabwa lol.
 
Kuna tofauti ya kuwa slim
body na kujazia makalio. Unaweza kuwa bonge afu ukawa umepigwa pasi
inayotumia umeme wa uranium. Ukienda unakuwa kama unarudi. Na unaweza
kuwa slim ila umejazia ile mbaya,lol

teh teh hii kali ya mwaka pasi inayotumia umeme wa uranium?
 
kuna ukweli kidogo hapo,mwanza wanakula sana ugali na kuna vifaa vimefungasha kishenzi.
 
Kuna tofauti ya kuwa slim body na kujazia makalio. Unaweza kuwa bonge afu ukawa umepigwa pasi inayotumia umeme wa uranium. Ukienda unakuwa kama unarudi. Na unaweza kuwa slim ila umejazia ile mbaya,lol

bora mwanamke awe slim afu kapigwa pasi kuliko mbonge afu awe nyuma flat kama sony wega
 
teh teh hii kali ya mwaka pasi inayotumia umeme wa uranium?
Ina moto moto mkali balaa.
ukipigwa nayo pasi, unakuwa zaidi ya muhindi aka led ya lg!

bora mwanamke awe slim afu kapigwa pasi kuliko mbonge afu awe nyuma flat kama sony wega
Hahaha, acha kunisimanga basi. Ngoja nikazane na dawa za kichina manake zimedunda.
 
Teh teh teh... King'ast kweli wewe ni king'ast! Pasi ya umeme wa uranium! Kudadadadeko wewe kiboko best. Sorry sichangii mada ninacheka sana hapa.
 
Back
Top Bottom