Katika mwili wako ni sehemu gani unayoipenda zaidi?

Kusema kuwa kuna sehemu huipendi ni kosa kubwa sana maana Mungu alipomuumba binadamu alimuona amekamilika sasa wewe useme jicho hulipendi au nywele utakuwa ni wendawazimu.
 
Each part of the body contains its own purpose!! Functionally!!Biologically!!
 
Zoote nazipenda sana,ila zaidi KIFANYIO,i like the way it makes me appear spesho!
 
Kila kiungo kina kazi yake sasa usipopenda kimojawapo unadhani imuhimu wake utazibwa na kipi?.........
 
mijadala mingine inapingana na maandiko utawezaje kukataa/kupenda kiungo mwilini mwako wakati kimewekwa kwa sababu?
 
Hapa wanamme watoe, maana wao hata kama wana kitu kizuri hawakijali.
Wao miili yao sehemu zote ni equal nadhani

Unamkuta mkaka labda ana kucha au lipsa nzuri tu lakini hazijali
Unakuta lips zimemkauka ukimsogelea unakuwa kama unakiss 'crisp'
Bado du kidogo zivunjike kwachukwachu lol
 
Napenda Mwanya wangu... Sijui nacho kama ni kiungo au ni deformity! Loh..
 
Hapa wanamme watoe, maana wao hata kama wana kitu kizuri hawakijali.
Wao miili yao sehemu zote ni equal nadhani

Unamkuta mkaka labda ana kucha au lipsa nzuri tu lakini hazijali
Unakuta lips zimemkauka ukimsogelea unakuwa kama unakiss 'crisp'
Bado du kidogo zivunjike kwachukwachu lol

hahahaha! Mi naona wanaume sehemu yao moja tu ya kuipenda au kuichukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom