Katika mikasa ya Biblia, Mungu ameshawaua watu 2,800,000, wakati Shetani ni Watu 10 tu!

Tafsiri yako ya bandiko langu si sahihi.

Vitendo vya mauaji vinavyofanywa na binadamu, kinyume na sheria za kibinadamu, ni nguvu za shetani (kwa waumini wa dini).

'Crusade' au mauaji ya kimbali, ikiwa ni pamoja na jihad ni kinyume cha sheria za kibinadamu.

Mungu kama muuaji, anahukumiwa kwa sheria zipi! Ni ubishi, uwongo na utoto na wa kijiweni.
Sheria zilizo wekwa.na.binadamu zikivunjwa.na.binadamu huyo.huyo.unataka kusema.hapo n.nguvu ya shetan imehusika??

Ila.zikifwata n.nguvu ya mungu imehusika??

Hv unauhakika.gan ay ushahidi gan kuwa pale.mtu anapo taka.kuuwa then.kabla.hajauwa.akaomba.na.kusali kwa.mwenyezi mungu then.akauwa..je unakuwa na uhakika gan.juwa n.nguvu za mungu au za shetan.ndio zimehusika.ktk mauji yale??

Mussa alipewa power na.mungu na akatunga sheria kwa uwezo wake mungu tena sheria zingine za kupiga mawe mtu mpk kufa....napo.hapa.mtasingizia shetani

Iman n kitu kibaya sana..bora kuamin mazur sio mungu
 
Mwacheni MUNGU aitwe MUNGU .

Binadamu ya MUNGU hamtoyaweza.

Msipende kuhoji hoji vitu vilivyo nje ya uwezo wenu Wa kawaida Wa kufikiri na utashi .

Mambo mengine ni ya kuyaacha kama yalivyo.

Ova and out
 
Kwani nani aliwatuma hao waliojishughurisha kujua dunia inazunguka jua..??..si utashi wao wa kibinaadamu.....hata wasingefanya hivyo ndio ingebadisha kile alichoumba mwenyezi mungu......??. Maisha yangeendelea tuu......
Ugunduzi wa dunia kuzunguka jua umeleta faida nyingi sana katika mambo mengi kama utabiri wa hali ya hewa kurahisisha mawasiliano kwa kutumia satelite hivo usidhani dunia ingebaki vilevile.
 
Mtoa mada, MUNGU si mwanadamu na hajadiliki wala kufikirika, nawashangaa mods wanaiogopa ccm kuliko Mungu, uzi wa kuikosoa ccm unafutwa fasta, lakini uzi wa kishenzi Kama huu wa kumjadili Mungu unaachwa, eti watu wanamchambua Mungu, this is more than crazy.
Uache imani za mkumbo utajua ukweli kama hujishughulishi. Ilo neno kufuru ndo huwa linatutia hofu sana ya kujua ukweli
 
Joshua na Moses ni binadamu. Weka uhusiano wao na Mungu katika vitendo hivyo. Labda kama unachukulia vitendo vyao hivyo, vya uuaji, ni ushahidi wa kumuhukumu Mungu kwa uuaji!

Naomba tuachane na mjadala wa kidini katika mazingira na fikara za kibinadamu.
Tujadili kwa fikra za kimungu??
 
Biblia ni kitabu cha Mungu! Shetani aliandikwa pale inapohitajika ko utafiti wako uko shallow sana. Na utafiti haufanywi kwenye kitabu kimoja tu.
MKUU YEYE KAZUNGUMZIA UTAFITI KWENYE BIBLIA PEKE YAKE SIO MAANDIKO MATAKATIFU YOTE,KWAHIYO HOJA ULIYOLETA HAINA MASHIKO NA SIO SEHEMU YAKE
ASANTE KWAKUCHANGIA.
 
Unajua yeye mtoa uzi kafikiria mpaka kaandika huu uzi na kama hauamini alichokianfika jibu sio kumtukana cha kufanya mjibu kwa hoja na vifungu kutoka kwenye biblia vya kumpinga
 
Mwacheni MUNGU aitwe MUNGU .

Binadamu ya MUNGU hamtoyaweza.

Msipende kuhoji hoji vitu vilivyo nje ya uwezo wenu Wa kawaida Wa kufikiri na utashi .

Mambo mengine ni ya kuyaacha kama yalivyo.

Ova and out
Kuna Watu walikuwa wanaabudu Mungu Jua na Mungu Mwezi na Nyota.. ila Baada Ya Binadamu kuvichunguza Vikaonekana Si Miungu Ni Nyota Tu Zilizopo kwenye Mzunguko......

Imani Ni Kuamini Kitu Ambacho bado Level ya Ufahamu wako haijafikia.. ukishakijua Hutokuwa na Imani Bali Uhakika
 
Hv unafahamu.kwa.wakristu wanabatizwa??

Hv unajua maana.ya wokovu,na nani anae thibitisha kuwa ww tayar huu mwokovu???

Au unazan kwenda kanisankwa.walokole,kuimba pambio, kusoma.biblia sana basi.ww ndio mwokovu.....??

Wapi wameeandika kuwa kubatiza wtt sio sahihi??

Pamoja.na.iman zenu.ndan kitabu kimoja bado mwajichanga??

Jaribu.soma.kitabu kinaitwa biblia.vizur,sio kile walicho punguza vitabu..no..soma.biblia yote iliyo kamilika na tafuta nn maana ya dhambi ya asili na vipi biblia husema kuhusu kuondolewa hiyo dhambi ya asili

Hapo ndipo utajua smtym huyu mungu mnae mwabudu n.jinsi.gan alivyo mafia ya boko haramu
POLE SANA KAMA UNAJIDANGANYA KUA UBATIZO WA WATOTO NI SAHIHI
 
"RGForever" ni Biblia gani uliyonayo au unasoma!

Mauti ni adhabu aliyopewa Adamu kwa kutokutii amri ya Mungu kwa udanganyifu alioufanya Shetani kwa Hawa.

Kitabu cha Biblia cha "Mwanzo 3:19 - kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi".

Hivyo si kweli dai lako kwa kuwa mauti ni dhambi ya asili kutoka kwa binadamu wa kwanza Adamu na Hawa
- eti dhambi ya asili!!! hamnaga ki2 kama hichi kama jua na nyota zina undergo cassanova na kwisha iweje kwa sisi binadamu? pia mimea kwa nn inakufa? kwa nn wanyama wanakufa? je ni dhambi yetu ya asili imerithi mpaka kwa wanyama na jua,nyota na mimea? na kama ni ndio thibitisha!!!
 
Mshahara wa dhambi ni mauti! Dhambi pia ni uasi. Kanuni hii inafanya kazi kotekote (Kwa Mungu na kwa Shetani). Hivyo ukitenda uasi (dhambi) kwa Mungu utakufa/uliwa na ni hivyohivyo kwa shetani.

So, kama Mungu ameua wengi maana yake waliomwasi Mungu ni wengi zaidi kuliko waliomwasi Shetani.

Kwa maneno mengine wanaomtii shetani ni wengi kuliko wanaomtii Mungu! Japo wengi wanajificha kwenye nyumba za ibada kumbe wako upande wa shetani.
 
Unawezaje kufungia mawazo yako selo hata yasipate mwanga wa nje?
Tangu nyakati za mwanzo hadi leo ukiwa hai vifo ulivyosikia na kuvipima katika mzani wa kiroho unahitaji PHD kujua ni mbinu za giza kuharibu, kuua na kuteketeza? Magonjwa ,ajali, mabalaa, laana, na uchafu wote unaosababisha vifo...
Wakati unahesabu vifo hivyo kwenye biblia kwa nyakati hizo watu waliendelea kufa kiroho na kimwili kwasababu ya yule mwovu kwa idadi isiyowezwa kutajwa kwasababu ya hayo niliyotaja juu na mengine mengi.
Tafakari
 
Back
Top Bottom