Katika mazingira haya, nataka nimueleze na muda mfupi....

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Nipo kwenye daladala kiti cha mbele ambacho huenda kinyumenyume gari likitembea. Mbele yangu kuna mdada nimempenda kama sio kumtamani....! kila nikimrushia macho tunagongana. Kwenye kiti cha nyuma yake yupo mke wangu na ex wangu ambaye mke wangu hakuwahi kujua...! Nimebakiza kama dakika mbili tu tushuke na mke wangu, na ningependa kumjulisha huyu dada kuwa nimemfeel kimapenzi...! Je, njia ipi ni sawia kufikisha ujumbe wangu kwa wakati?
 
Acha uroho...mke...x wako...bado wataka ongeza mwingine. Its was just a crush.
 
Andika namba yako ya simu kwenye kikaratasi halafu unavyoshuka jicheleweshe mke na x wakiwa wameshuka mrushie. Akikupigia sawa asipopiga sio bahati yako. Mkuu kupenda gani huku ghafla ghafla tu kwenye daladala ilhali mke na x wako hapo.
 
Nilikuwa najaribu kuangalia kama kuna ile" posted via my Mobile" hata siioni......mwenzetu kwa daladala umefungua laptop?

What a coincidence?? Mke, ex na prospective candidate pamoja??
 
we utakuwa ni fataki na unataka huu ushauri ili uufanyie kazi mara nyingine unapofanya safari tena ukiwa hapo hapo kwenye ki banseni burner
 
Nipo kwenye daladala kiti cha mbele ambacho huenda kinyumenyume gari likitembea. Mbele yangu kuna mdada nimempenda kama sio kumtamani....! kila nikimrushia macho tunagongana. Kwenye kiti cha nyuma yake yupo mke wangu na ex wangu ambaye mke wangu hakuwahi kujua...! Nimebakiza kama dakika mbili tu tushuke na mke wangu, na ningependa kumjulisha huyu dada kuwa nimemfeel kimapenzi...! Je, njia ipi ni sawia kufikisha ujumbe wangu kwa wakati?
njaa zingine bana........ nitarudi!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom