Katika matajiri wa Tanzani Mo ni tajiri wa aina yake

Mimi siyo muumini wa ngonjera bali tarakimu kwa hiyo ulichoninukuu nacho ni nonsense tupu.

Wewe usiyehongwa ungeweka net worth hapa siyo porojo tu.

Kama picha na umri vingekuwa muhimu kwenye hiyo orodha wange-download hata mitandaoni.

Kwani MO akiwa wa kwanza au wa mwisho Mimi inanisaidia nini? Ninachohoji mimi ni figures basi.

Again,do you know the shareholders of Chemi&Cotex au umekariri kila kampuni inamilikiwa na mtu mmoja?

Wabongo acheni ujuaji nendeni chimbo muwakosoe Forbes kwa tarakimu siyo story za vijiweni.

Kuna yeyote mwenye ushahidi wa Forbes kuhongwa humu? Uwekeni tuuone.
We kweli kilaza.. Hivi unajua Forbes wanafanyaje research zao kupima utajiri wa mtu?? Au unafikiri wanafanya kwa hisia?? Nenda mitandaoni usome criticism za Forbes Africa. Hivi unawezaje kusema Bakhressa ana net worth ya $ 650 M wakati kumfata ukakaa nae hujawahi.. Maana kama umri tu unashindwa kuujua ina maana umepima utajiri wake kwa hisia na si uhalisia. Kama wangekuja kukaa na Bakhressa au Mengi lazima swali la kwanza lingekuwa Jina kamili, Umri, ulikozaliwa na biashara ulianza lini.

Chemi & Cotex wako shareholders wangapi? Mohamed yeye unafikiri ile biashara anamiliki mwenyewe?? Chemi and Cotex wanauza bidhaa zao kwenye nchi 13 za Africa.

Hapa hakuna anayeshindania nani tajiri kuliko nani, get your facts right. Tunachoongea hapa ni huyo Mo kuwa overrated kuliko anavyopambwa. Kama Mzee Mengi ilivyotoka hiyo list yao ya Forbes Africa alisema huo si utajiri wake halisi na wala hakuwahi kufatwa wala kupigiwa simu na hao watu bali ni hisia zao tu
 
Hamshindi baba wawili Mengi.....toka nipo shule ya msingi yeye nikutoa misaada mpaka leo anatoa misaada tu, na wala habagui dini, kabila, rangi na si mtu wa siasa uchwara!
Alianzishaga shindano la wajasiriamali lakini mpaka leo mwaka unakatika hajawahi kutoa zawadi hata shilling. Mengi yeye alikuwa na tweet na Mengi na kila week alikuwa anatoa Million 10 kwa mshindi wa kwanza na Million 1 kwa washindi 9 wengine..

Sasa ameibuka na scholarship ila sidhani kama atatekeleza
 
Yes for me..!! Ur right...!! But Mengi ktk hii mada hayupo..!!

Ktk wafanyabiashara wenye asili ya kiasia, huyu Mo ni bora kushinda wenye asili yake kwa kuishi na watu....!!
Hapo hata mimi namsifu.. Hata rafiki zake wengi ni vijana weusi. Anapenda sana kujichanganya na nahisi hii tabia alijifunza kule US
 
Mo awezi mfikia huyu L.N.Rathi
L.N-Rathi-200x240.jpg

Nadhani hujaelewa mantiki ya uzi wangu hapa,sijasema kuhusu yeye tajiri sana kuzidi wengine,nimezungumzia Mo anavyojiweka karibu na jamii iliyomzunguka, hebu tuletee uzi wa huyu mzee alivyokaribu na jamii kama kujichanganya kufurahika nao kama Mo anavyofanya
 
Exactly ....

Bakhresa ni tajiri five times Mo au zaidi
waandishi wa forbes Africa ni wa South Africa na wanaishi South
kawaweka tu mkononi....hata Owner wa Exim Bank anaweza kuwa tajiri kuliko Mo

Zakaria pia ni tajiri kuliko Mo
Forbes walilenga matariji walio na umri wa miaka 40 kushuka chini, ambapo kwa wakati huo MO alikizi vigezo... MO companies zimesambaa karibu nchi kumi Africa, tuseme tu ukweli jamaa pesa zipo ni bilionea regardless of quality ya products zake.
 
Chemi & Cotex wako shareholders wangapi? Mohamed yeye unafikiri ile biashara anamiliki mwenyewe?? Chemi and Cotex wanauza bidhaa zao kwenye nchi 13 za Africa.

Kwa hiyo MO yeye alifuatwa na hao Forbes?

Kama wote hawakufuatwa then wewe unatumia takwimu zipi kuona Mo Yuko overrated na Mengi kuwa underrated? Uliwahoji au hisia Tu kama hao Forbes unaowakosoa?

Chemi&Cotex ina shareholders watatu,wawili makampuni ya UK na moja ni kampuni ya Kenya.Tembelea tovuti yao

Unaweza nitajia washirika wa Mo mbali na familia yake.

Nani mmiliki wa Chemi&Cotex hapa Tanzania?

Kampuni kuuza bidhaa nchi nyingi wala siyo hoja bali hoja hapa ni net worth ya kampuni!!!
 
Sikupata kumfahamu baba yake, Kweli maji hufuata mkondo

Baba yake ni mtu mwenye akili sana na yuko level headed kweli kweli, akipania kufanya Project fulani ataifanya tu hata ipite miaka mingapi, hakati tamaa!!! Inaelekea mwanae karithi hulka ya Baba yake, ingawa babayake ana kaukali kwa mbali - nakumbuka miaka ya nyuma ndugu yangu wa karibu ambaye alikuwa na utaalamu wa kisayansi katika nyanja fulani aliwahi kutembelewa na baba yake Mo, baada ya kupewa somo la kina kwa kile alicho taka kukijua yule Mzee kabla hajaondoka kamuuliza ndugu yangu kama ana mtoto au ndugu aliyesoma vizuri fani yoyote atampatia KAZI kwenye moja ya kampuni zake!! Ndugu yangu alimshukuru sana lakini akamwambia hana ndugu au mtoto ambaye hana ajila, sasa ni matajili wangapi wanaweza kuwa na moyo wa kusaidia kivile - ni wachache sana.
 
Kuna fununu aliwahonga forbes ili aitwe bilionea.

Mi naamini Bakhressa ndo real deal hapa Tanzania.

Mo Dewji ni kanjanja fulani wa kuungaunga tu.
MO yuko kwenye orodha ya matajiri vijana, Bakhressa ni tajiri kijana?
 
Mzee Mengi amekua akisaidia jamii tangu siku nyingi sana huko nyuma

Ndiyo, lakini tatizo la Mzee Mengi akitoa msaada anataka Dunia nzima ilijue hilo, hapo ndipo unishangaza kidogo!!! Sisi wakristo Biblia ina nukuu kwamba wenye uwezo ni vizuri kutoa misaada kwa maskini kimya kimya.
 
Hao wote ni wazee..yeye aliwekwa kwenye category ya vijana...labda tumlinganishe na wakina Lemutuz


Kuna kitu hujakielewa
kwa mujibu wa Forbes Africa Mo ndo tajiri kuliko wote Tanzania....

ndo maana tunasema sio kweli

Forbes huwa wanakosea tu sana
kila siku wanamtaja Ali Mafuruki kuwa wa nne Tanzania kwa utajiri
jiulize Ali Mafuruki anaweza hata kuwakaribia Oilcom?
 
kwa kuongezea tu,wadau walio karibu na matajiri wa tz, wanadai utajiri wa MO unakaribiana kidogo na utajiri wa mtoto wa bakharesa aitwaye abubakar.kumfikia mzee bakharesa mwenyewe bado sana. itambidi kwanza awapite watoto wake.

uzuri tu ni kwamba mzee bakharesa na watoto wake hawapendi public antetion kama MO,na ndio maana hata ktk swala la kusaidia wahanga wa tetemeko kule bukoba, wametoa milioni mia moja kama msaada lakini huwezi ukakuta wanajadaliwa popote kama anavo jadiliwa MO na matajiri wengine wapenda sifa.


Mo hata Oilcom tu hawafikii
 
Sio media tu.. Mpaka hizo Forbes na nyinginezo anazotumia. There is no way Mo is richer than Bakhressa and Mengi.. Haiwezekani
Haiwezekani kivipi? Kama Forbes wanakosa taarifa za utajiri wa Mengi na Bakhresa, watawapima vipi?

Vv
 
Kuna kitu hujakielewa
kwa mujibu wa Forbes Africa Mo ndo tajiri kuliko wote Tanzania....

ndo maana tunasema sio kweli

Forbes huwa wanakosea tu sana
kila siku wanamtaja Ali Mafuruki kuwa wa nne Tanzania kwa utajiri
jiulize Ali Mafuruki anaweza hata kuwakaribia Oilcom?
Hebu patia wewe basi utupe taarifa accurate!
 
Back
Top Bottom