Katika mastaa wooote wa bongo...i loved this girl asee.......

Wa kawaida sema tuu ana exposure huku uswazi kwetu wapo wazuri zaidi yake..
 
duh, inataka moyo kivipi?wanatoa na roho za watu nini? kama naogopa vile?wewe mambo yako (kifedha) yameshanyooka?

Suala la fedha kwako halitakua shida sababu miradi ipo mingi ambayo unaweza ukawazawadiwa shares. siwezi kusema lolote kuhusu roho za watu sababu kama siku ya imefika basi imefika
 
mandingo mcheza kikapu alikuwa anamdungua huyo...vibamia msiguse hapo, ilishapanuliwa...nyang'anyan'ga.
 
mh, ok poa kila la kheri
Suala la fedha kwako halitakua shida sababu miradi ipo mingi ambayo unaweza ukawazawadiwa shares. siwezi kusema lolote kuhusu roho za watu sababu kama siku ya imefika basi imefika
 
Back
Top Bottom