Katika Mabunge yote, Bunge la 10 balaaaa!

wabunge mnaona serikali haina azina ya kutosha ninyi mnataka kuonezewa posho
Azina = Hazina


Wabunge ndio waliokuambia wameona Serikali haina pesa kwenye hazina yake oi.

Pesa ipo sana ila wanaoitumbua ni wajanja wachache hata wakilipwa posho ya laki tatu pesa haiishi na ishatangazwa jumuia ya ulaya ishaongoza fungu kwenye hazina
 
qualification ya ubunge ni kujua kusoma na kuandika na kuhonga sana iwe pesa au vinginevyo........baada ya hapo kwishney
 
1. Ndani ya mwaka mmoja tayari washajipandisha posho kwa zaidi ya 155%, yani toka sh. 70,000 mpaka 200,000 kwa kigezo cha kipumbafu kama ilivyofafanuliwa na spika na katibu wao.

2. Muswaada wa sheria za marekebisho ya katiba umepitishwa kimazabe kinyume na matakwa ya wananchi/raia wa nchi hii.
3.
4.
5.
6.
7.
 
Baada ya nyongeza ya posho kwa wabunge, sasa bunge limetangaza rasmi posho kwa walimu na police kama teaching and kamatakamata allowance.
 
3.Wanasinzia halafu wanasingizia wamemeza pilton.
4.Bunge la mipasho na kuzomeana kama mataahira
 
mi' naona waongezeane tu hiyo posho ya "maisha magumu dodoma" iwe tsh 1,000,000/= ili tusahau kwa muda mrefu angalau ipitepo hata miaka mingine hamsini ya uhuru, maana hii walioongezeana haitatosha hata wafanye nini, matokeo yake mwakani tena watataka kuongezapo tena tsh 100,000/=
 
Back
Top Bottom