Katika kuelekea kujivua gamba hali ya hewa ndani ya CCM SI SHWARI

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,274
9,911
Kuna tetesi nilizipata jana kuwa hali si nzuri sana kati ya mwenyeki ti na sekretarit ya ccm . Habari hizo ambazo bado ni tetesi zinasema kuwa inaonekana mwenyekiti anampango wa kuwatosa wanasekretariet hao na kuweka watu wake ambao anauhakika hata akiondoka atakiacha chama katika hali nzuri. Na amekuwa akiwatumia baadhi ya wajumbe wa nec katika mpango wake huo bila kuwashirikisha sekretariet hali iliyopeleke Wanasekretariet hao hasa makamba wakimlaumu mwenyekiti kuwa amekuwa anapelekewa umbea na watu kuwa sekretariet imechoka na inapaswa toswe yote. Wakati mwenyekiti akijua jinsi sekretarit hiyo ilivyofanya kazi ya ziada kuhakisha ushindi wa chama chao.

Hata hivyo habari zinasema baadhi ya wanasekretariet hasa makamba na chiligati wanaona upepo huo huenda ukawakumba hivyo nayenyewe wamejipanga kuhakikisha wataweka waridhi wanaowataka wao ndiyo waitiongoza sekretariet hiyo.
 
Dua la kuku halimpati mwewe........
 
Mimi naomba mungu kife kabisa kwa kuwa kimeshafanya dhuruma ya kutosha kwa watanzania!!
 
Kuna tetesi nilizipata jana kuwa hali si nzuri sana kati ya mwenyeki ti na sekretarit ya ccm . Habari hizo ambazo bado ni tetesi zinasema kuwa inaonekana mwenyekiti anampango wa kuwatosa wanasekretariet hao na kuweka watu wake ambao anauhakika hata akiondoka atakiacha chama katika hali nzuri. Na amekuwa akiwatumia baadhi ya wajumbe wa nec katika mpango wake huo bila kuwashirikisha sekretariet hali iliyopeleke Wanasekretariet hao hasa makamba wakimlaumu mwenyekiti kuwa amekuwa anapelekewa umbea na watu kuwa sekretariet imechoka na inapaswa toswe yote. Wakati mwenyekiti akijua jinsi sekretarit hiyo ilivyofanya kazi ya ziada kuhakisha ushindi wa chama chao.

Hata hivyo habari zinasema baadhi ya wanasekretariet hasa makamba na chiligati wanaona upepo huo huenda ukawakumba hivyo nayenyewe wamejipanga kuhakikisha wataweka waridhi wanaowataka wao ndiyo waitiongoza sekretariet hiyo.

Mkuu Kurunzi, naona habari zako ni za udaku.
Udaku kwa maana ya yale niliyohighlight kwa wino mwekundu.
Makamba kwa taarifa zilizo wazi ndiye kinara wa kukikoroga chama na kukididimiza hata JK kupata matokeo ya chini kabisa kuliko marais waliopita.Siyo siri vile vile kuwa Sektreteriat chini ya Makamba ina utendaji hafifu na usio wa kisomi kuliko wakati mwingine wowote.
Mkuu Kurunzi unajikoroga vile vile unaposema Makamba na Chiligati watateua wardhi(warithi?) wao katika sekretariet!!!
Nafikiri hizo ndo nasema habari za udaku maana nitakuuliza ni kwa ubavu gani walio nao?
 
Ni udaku mtupu mkuu I second you.
 
Safi sana waache watafunane wenyewe kwa wenyewe!~!!!!!!!!!!!!!!!! GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOD! I LIKE THAT!
 
Na bado watafarakana sana tu hadi wengine watahama nyie subirini mtaona mambo mengi sana
 
Makamba ndiyo mchawi halisi wa CCM, JK hilo analitambua lakini sijui nini kinamfanya kusita kuchukua hatua. Lakini angalizo langu mimi ni CCM kusoma alama za nyakati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom