Katika hili,uwongo unafaa.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Umetoka out na mkeo/girlfriend,then anakuuliza;'Honey,how do I look today?'.Ukimcheki unaona wazi wazi kachukiza ile mbaya,unamjibuje?
 
Umechukiza ile mbaya darling? Sasa kuna cha kufikiri hapo jifunze kuwa mkweli
 
Sasa wewe mpaka utoke nae out akiwa AMECHUKIZA unakua umefungwa mdomo na kufuli ama?!Mrekebishe tangu nyumbani....mara nyingi mtu akivaa akatoka kama kituko au hata akasahau kufunga zipu atakaekosolewa/onekana sio ni yule anaetembea nae kwa kushindwa na kumrekebisha au kumshtua mwenzake ajiweke sawa.Kwahiyo wewe ndo unaishia kuonekana wa ajabu zaidi kuliko hata mvaaji.
 
Umetoka out na mkeo/girlfriend,then anakuuliza;'Honey,how do I look today?'.Ukimcheki unaona wazi wazi kachukiza ile mbaya,unamjibuje?
Tujenge tabia ya kuelezana ukweli kabla ya kutoka nje! Tupendane jamani!
 
ukishindwa kumweleza wewe toka home nani atamweleza zaidi ya kuchekwa wote 2.... mweleze ukweli kabla aibu haijawafika
 
Du, aisee mi ntamwambia..ila approach tu ndo itakua tofauti.
something like, "Darling, mbona usivae lile gauni lekundu? Litamatch na venue...ama unasemaje sweetheart!??"
 
kama bado hatujaondoka home namwambia kabisa "bwana hujatoka fresh"
change 1 2 3 n.k.
kama hajaniuliza na kama hajapendeza (amechukiza) nitamwambia, na nitamwelekeza nini abadilishe
ili kiweje ili nini!
katika mapenzi ya dhati, ukipendeza ni fahari kw mpenzi wako, na yeye akipendeza ni fahari kwako.
 
kama bado hatujaondoka home namwambia kabisa "bwana hujatoka fresh"change 1 2 3 n.k.kama hajaniuliza na kama hajapendeza (amechukiza) nitamwambia, na nitamwelekeza nini abadilisheili kiweje ili nini!katika mapenzi ya dhati, ukipendeza ni fahari kw mpenzi wako, na yeye akipendeza ni fahari kwako.
Hiyo ni kwa wife unayetokanae nyumba moja,vipi kwa girlfriend ambaye hamtoki nae the same house,we upo sehemu fulani unamsubiri aje au yeye ndo kakutangulia anapata vinywaji mdogo mdogo wakati anakusubiri?
 
Back
Top Bottom