Katika hili tuwe makini...

ADUI

Member
Aug 6, 2009
82
10
View attachment 37418

Hii ni picha ya kwanza mimi kuiona kuhusiana na kuzama kwa MV spice islander...

View attachment 37418

Na hii ni picha inayoonesha kuzama kwa passanger ferry ya Trans Asia shipping lines iitwayo Asia Malaysia, hii ilitokea tarehe 31 July. Check out this link. United Filipino Seafarers

Mimi kwa macho yangu naona hii picha ni moja, sasa iweje moja iwe mv spice islander na nyingine Asia malaysia. Picha hii imesambaa kila kona kwny blogs na sehemu mbalimbali za kupatia habari. Je ni nani aliyeisambaza picha hii? na je tumedanganywa mangapi na vyanzo pamoja na vyombo vyetu vya habari?

Tuwe macho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom