Katika hili siyo siri mh. Jk hapa umechemsha.

Unanikumbusha hadith ya lukman punda na mtoto wake. Mie nangojea mzee mtei amkosoe kuwa jk ni mdini ameteua watu wa dini moja.
 
Tuna wabunge takribani 300 na ushee na 80% ya wabunge hawa hawana umuhimu kwa wananchi wao, Leo unatuongezea wengine huku unalia kila siku serikali haina fedha, Tunahitaji baraza jipya la mawaziri siyo wabunge wapya japo tunatambua wengi si wasafi.
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas
 
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas

Sawa yawezekana mimi kweli nikawa bogas, lakini nilichokipos mantiki yake umeielewa ahsante.
 
Wabunge wapya ni sehemu ya baraza jipya la mawaziri.
..si kila king'aacho ni dhahabu mkuu unaweza ukawa unabadirisha wapangaji lakini mwisho wa siku nafasi ndani ya nyumba bado ile ile....hakuna jipya.
 
...hapo ndio umuhimu wa mawaziri kutokuwa wabunge unaonekana.
 
Haijasema lazima ateue, Imesema atateua, so hata hasipoteua atakuwa hajavunja katiba. The issue is, hv kwa sasa Tanzania inaitaji Mbunge mwingine wa kuteuliwa ba Rais? Hii ni kumuongezea mzigo mwananchi bila sababu.
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas
 
Tuna wabunge takribani 300 na
ushee na 80% ya wabunge hawa hawana umuhimu kwa
wananchi wao, Leo unatuongezea
wengine huku unalia kila siku serikali haina fedha,
Tunahitaji baraza jipya la mawaziri siyo
wabunge wapya japo tunatambua wengi
si wasafi.

Anaongeza nguvu ya 'upepo' wa kisiasa ili 'upite' haraka.

Nadhani malengo yake hapa, achilia mbali uwezo wake mdogo wa kutambua kuwa kuongeza wabunge ni gharama kwa serikali, anataka watu wasijadili hoja za ufisadi bali wajadili watu aliowateua. Uraisi umekuwa rahisi zaidi sasa.
 
Leo sijaona yale maneno JK ni mdini kachaguwa wote wa dini mmoja.
 
Kama ndo hivi, wabunge wote ateue yeye kuepuka hizi kesi za kupinga ushindi wa Mbunge
 
tuwe na mfumo kama wa marekani... waziri sio mbunge na mbunge sio waziri. Mbunge akichaguliwa kua waziri basi inabidi aachie ubunge na vile vile waziri akitaka kua mbunge inabidi aachie uwaziri wake. Hiyo inafanya waziri ana concentrate kwenye shuhuli zake kwenye wizara na serikali na mbunge anaconcentrate kwenye jimbo lake.

Hapa kwetu waziri nae ni mbunge na mara nyingin mbunge akishakua waziri anakua yuko busy sana na shuhuli za kiserikali mara nyingi anasahau hata jimbo lake..unakuta miaka yote mitano waziri hajakanyaga kwenye jimbo lake.

Katika hii katiba mpya oni langu ni hili kwamba ipitishwe sheria kua mbunge ni mbunge na waziri ni waziri and not both!! mtu analipwa mshahara kama waziri na pia anapata mshahara na marupurupu kama mbunge...no wonder serikali inasema haina hela...hela zote zinaishia kwenye mifuko ya hawa watu :disapointed:
 
  • Thanks
Reactions: EMT
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas

vitu vingine ni common sensi tu, hizo hela si mkawape wazee wa eac, eti katiba inaruhusu.
 
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas

Nimejaribu kupima hoja hii na ya mwenzio nimegundua umekurupuka na cjui hukumuelewa au umefanya tu makusudi bt kimsingi wewe ndio BOGAS tena BOGAS kwelikweli.
 
Back
Top Bottom