Katika hali ya kutatanisha TBC1 warusha mkutano wa CHADEMA badala ya CCM

Laana hii itaisha mpaka watakapo tubu kws Tido Mhando , haya hayawezi kuwa makosa yanayotokana na bajeti ndogo wanayodai serikali hutenga.TBC hata watamgazaji hutangaza wakiwa mawazo kinabao
 
Mbona hamna kitu...ulipata wapi hiyo taarifa..coz hamna sehemu waliyotangaza kama wataonyesha,,labda Mlimani TV
 
chama cha ccm kimefunga kampeni ya uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya lizaboni songea na wananchi wanaimani kubwa na chama cha ccm kwa maendeleo yao kwenye mkutano watu nyomiiiiiii

Nguvu na masikio yenu mumeelekeza lizaboni na si arumeru wala kirumba?
 
mlimani sasa hivi wanaonyesha mpira wa simba na afrika lyon
 
Walitangaza mara baada ya taarifa ya habari kuwa tutapata yaliojiri arumeru kwenye maadhimisho. Badala yake tunaonyeshwa yaliojiri bagamoyo. *****..wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe..manina
 
Maskini CCM na TBC, ati wanadai hawajapata taarifa kamili.
Kuna jamaa wa TBC kanidokeza hapa kuwa wamekatazwa kurusha shuhuli ya leo ya CCM kwani watu wamegoma kwenda ilikua ni aibu tupu.
 
Laana hii itaisha mpaka watakapo tubu kws Tido Mhando , haya hayawezi kuwa makosa yanayotokana na bajeti ndogo wanayodai serikali hutenga.TBC hata watamgazaji hutangaza wakiwa mawazo kinabao
mawazo gani tena mkuu
 
Walitangaza mwishoni mwa taarifa ya habari....................ya saa mbili...........lakini hamna kitu. Nyie TBC ni wapuuzi kwa nini muudanganye umma si mgeshutukiza.........na ole wenu msiombe radhi..........na inawezekana umezuiwa ghafla......ombeni radhi vinginevyo mtadhaurauliwa sana nyie na watoto wenu..............hamtakuwa na maana yoyote katika historia ya nchi hiii. Aibu sana.Wewe sijui Bwigane, Ahmed salum, kingarame, Mhando na wengineo........hamna maana kabisa na ni aibu kuitwa vijana wa Tanzania. Ni vyema baada ya muda mliouahidi kufika na mkaona hamtaweza tena Mgetutaarifu walau mtudanganye kuwa imekuwa nje ya uwezo wenu au sababu zisizozuilika.........
 
Mitambo inazidi kugoma. Tunaoneshwa bagamoyo baada kumaliza ususi wa yeboyebo.Mungu wetu yu upande wa CDM

Mkuu TBC wanatia aibu na soon wanakwenda alijojo yaan walicho sema watatonyesha sijaona cha maana zaidi ya kutuonyesha picha bila sauti na mwisho picha ikagoma hii ni aibu kwa chombo cha taifa
 
Kiukweli mungu ni wa ajabu sana. Anaweza kuyaleta yaliyofichwa gizani kwenye mwanga na watu wakashuhudia. Arumeru ni kiama cha CCM. Hapo ndipo watakapojua kuwa watanzania wameshajua mbivu na mbichi. Inashangaza mtu anafiwa na Baba yake then yeye anagombea. Ingekua ni mimi ningekaa nitafakari na kuomboleza kifo cha baba yangu. Hapa ndipo CCM walipochemka na kuonekana hawana uzalendo na watanzania
 
Walitangaza mwishoni mwa taarifa ya habari....................ya saa mbili...........lakini hamna kitu. Nyie TBC ni wapuuzi kwa nini muudanganye umma si mgeshutukiza.........na ole wenu msiombe radhi..........na inawezekana umezuiwa ghafla......ombeni radhi vinginevyo mtadhaurauliwa sana nyie na watoto wenu..............hamtakuwa na maana yoyote katika historia ya nchi hiii. Aibu sana.Wewe sijui Bwigane, Ahmed salum, kingarame, Mhando na wengineo........hamna maana kabisa na ni aibu kuitwa vijana wa Tanzania. Ni vyema baada ya muda mliouahidi kufika na mkaona hamtaweza tena Mgetutaarifu walau mtudanganye kuwa imekuwa nje ya uwezo wenu au sababu zisizozuilika.........

Mkuu haya ndiyo madhara ya kuchanganya politics na proffessional
 
Najua huwa hawapendi kuonyesha taarifa ya kampeni za vyama pinzani na leo wakaanza na ubaguzi wao walipotaka tu kuonyesha ubaguzi wao tu mara ikatokea wameonyesha hotuba ya CDM nadhani hawakupanga hilo walipotambua wakazima na kusingizia wanamatatizo ya kiufundi. Mida ya saa tatu wakaahidi kutuletea habari za ufungaji wa kampeni lakini nayo wameingia nayo mitini. Hivi hii TBC1 ni ya watanzania au ya watu fulani tu? mbona weledi umepungua sana tangu aondoke jembe?
 
Maskini CCM na TBC, ati wanadai hawajapata taarifa kamili.
Kuna jamaa wa TBC kanidokeza hapa kuwa wamekatazwa kurusha shuhuli ya leo ya CCM kwani watu wamegoma kwenda ilikua ni aibu tupu.

Watumishi wengi wa serikali ni CDM halina mjadala hilo
 
wafanyakazi tbc nao ni binadamu lazima waonyeshe hisia zao..leo wamedhihirisha kwamba pamoja na kuburuzwa lakini bado wanaweza kuonyesha mapenzi yao kwa chadema..kweli ukombozi umekaribia viva chadema.!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom