Katika hali ya kutatanisha TBC1 warusha mkutano wa CHADEMA badala ya CCM

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Pamoja na Roho mbaya na biase ya TBC kwa CDM leo imewatia aibu pale walipokuwa wanataka kuonyesha mkutano wa leo wakati BWM anaongea lakini kilichotokea badala ya kuonyesha mkutano wa ccm matokeo yake akaonyesha Nassari anahutubia.ameona aibu mbaya
Mwisho wa ubaya aibu.mkutano wa magamba umekosa coverage TBC kitu ambacho akijawahi kutokea.
Source.TBC news mtangazaji amina mollel

Angalie Video uone mwenyewe


 
Last edited by a moderator:
Malipo ni hapa hapa. Kamanda Nassari katokea kiulainiii akitoa sera zake. Magamba mwisho u karibu. CDM tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu
 
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.....sio kwamba wamependa ila kilichotokea ni kwa mkono wa aliyezaidi ya wao... wenye akili wanatambua kuwa huu ndio mwisho waooo... Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!
:lock1:
 
Wasi wasi wangu ni kwamba huyo fundi mitambo wa leo kibarua kitaota nyasi.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
leo nimefurahishwa kwa mara ya kwanza na kosa la kihabari lililofanywa na televisheni ya chama (yaani TBC)
habari yenyewe ilikuwa inahusu taarifa ya Arumeru Mashariki, kama kawaida wakasema kampeni zimefungwa jioni na nini,
sasa wakasema ooh, raisi msaafu BWM amefunga kampeni na mgombea wa ccm amezungumza...tujiunge na mwandishi wetu! mara badala ya kutoa BMW na CCM, wakatoa mkutano wa chadema joshua nassari akamwaga sera, mara wakaikata, ooh samahani habari iliyokusudiwa imekuwa na tatizo...duh
kumbe hawa jamaa huwa wanakuwepo kwenye mikutano ya chadema sema hawataki kutoa habari zao..au wanazikata makusudi
 
Magamba wameitaarifu tbc1 waweke kipindi maalum saa tatu kamili kuonyesha hitimisho la kampeni zao. Hata wasipoonyesha kampeni za CDM haijalishi kwani kamanda Nasari walimpa coverage wakati muafaka.Tulianza na Mungu na tunamaliza Na Mungu vilevile
 
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.....sio kwamba wamependa ila kilichotokea ni kwa mkono wa aliyezaidi ya wao... wenye akili wanatambua kuwa huu ndio mwisho waooo... Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!
:lock1:

Wellsaid mkuu!Nahisi wakubwa wamewakoromea TBC katika kutakurekebisha makosa yao wamesema saa tatu usiku wataonyesha mikutano ya kufungia kampeni. Amina mollel amekosa raha na amani kabisa
Stay tune tuone wachakachuaji plus
Mytake:wamesha edit picha ili ionyeshe mikutano waliyokuwa na audiance kubwa
 
Malipo ni hapa hapa. Kamanda Nassari katokea kiulainiii akitoa sera zake. Magamba mwisho u karibu. CDM tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu

Kwa ufupi nilikuwa nataka kuipa hii thread tbc wamtangaza nassari kuwa mbunge wa meru.
 
Back
Top Bottom