Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

Ama kweli wewe ndio kibaraka wa propaganda. naona ulipigwa propaganda na ikakushika sana. Yaani mpaka leo hii uelewa wako ni kuwa makanisa yalichomwa na waislam? Kama ni kuyachoma kwanini iwe leo? Unajua kama kamati ya uchunguzi iliundwa na ripot ilisha kamilika? kwanini hawataji majina ya waliohusika kuchoma? na matokeo yake walitangaza kuwa serikali itayajenga? Ebu jitahidi akili yako kuwa unaiachia free ili upate mwenyewe binafsi kuyawaza mambo kwa upeo wako wa akili na si kupigiwa tu ngoma nawe ukaanza kuicheza.

Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa waliochoma makanisa kuanzia yale ya Zanzbar hadi ya le ya Mbagala ndio Wahuni kama mnavyojisafisha????????????

Je, na wale walioua Askari pamoja na raia kule Visiwani pia ni Wahuni.

Je, na wale walioenda kuvunja na kuvamia kiwanja pale DSM ni wahuni.

Je, na wale waliokuwa wanafanya maandamano kwenda Ikulu ni wahuni.

Je, na wale waliotangaziana kuwa tarehe 01 Nov. wanafunzi na walimu wote wasiingie madarasani kwenda Mahakamani ni wahuni.

Je, na wale waliotangaza kwua Tarehe 02 Nov. kutakuwa na maandamano nchi nzima ni Wahuni.

TAFADHARINI MSITUDANGANYe, MMECHOMA MAKANISA TUMEKAA KIMYA sasa KAMA WACHAWI MNAANZA KUTAFUNANA WENYEWE!!!!!!.

DHAMBI YA MAKANISA YALE na MACHOZI TULIYOTOA HAYATAENDA Bure, TUMEMKABIDHI MUNGU.

Sisi ni watu wa Amani na Dini yetu inatufundisha hivi kamwe hatutaripiza kisasi bali tutazidisha maombi na Mungu atatenda miujiza dhidi yenu wote mliofurahia kuteketezwa kwa Mahekaru ya Ibada



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Pole sheikh wetu lakini unakwenda kutibiwa na makafir ambao baadhi ya watu wanaona ni maadui wa uislamu.

Huko Muhimbili ikibidi utaongezewa damu ya makafir nina shaka kama utakubari au utaamua liwalo na liwe utakataa.
 
Laana ya kuchoma makanisa inaanza kumtafuna taratibu.

Ngongo mi najua Great Thinker kama munavyojiita hakurupi na haropoki bali hutafakari mambo ndiyo naye atoe tamko. Huyu Bwana siwale wanaochoma kamakanisa na tena yupo against na kikundi cha UAMSHO so ni vizuri ukajibidisha kufahamu mambo kwanza. usimhukumu mtu kwa makosa ya wengine
 
Akipona atajua kuwa kujipendekeza kwa makafiri ni kazi bure.Hata yeye mwenyewe hawampendi.
 
Ngongo mi najua Great Thinker kama munavyojiita hakurupi na haropoki bali hutafakari mambo ndiyo naye atoe tamko. Huyu Bwana siwale wanaochoma kamakanisa na tena yupo against na kikundi cha UAMSHO so ni vizuri ukajibidisha kufahamu mambo kwanza. usimhukumu mtu kwa makosa ya wengine
Hapo umesema nini?.
Waliochoma makanisa wewe umewajua?.
 
Katibu wa muft wa UAMSHO SHEKH FADHIL SORAGA AMEMWAGIWA TINDIKAL NA WATU WASIOJULIKANA ASBUH HII HUKO ZANZBAR NA HALI YAKE NI MBAYA AMESAFIRISHWA KUPELEKWA MUHIMBILI MUDA HUU SOURC FB WALL YA UAMSHO

boko haram walianza hivi hivi. tindikali then mauaji. jamani tujihadhari sana na kikundi hiki kitatuharibia nchi yetu.
 
Wenyewe kwa wenyewe sasa wanauana....!!!

Mungu wa ajabu.... Usisikie maombi...!!!

Na watamalizana sasa.....watching[/QUOTE

Dunia ya waislamu imejeruhuwa zaidi na vikundi hivi kuliko hata wasio wailsmu, tazama Elshabab - somalia, Al qaeda- Iraq na Afrighastan, Boko Haram, Hamas na kwingineko vikundi hivi vimekuwa mwiba kwa waislamu na ndivyo Uamsho inakokwenda.
 
Dah! Hii ni mbaya sana. Mungu mwenye nguvu za kuponya na kuhuisha akurejeshee afya njema Sheikh.
 
Wakorintho 11, Paulo Ananena kwa kanisa, Katika mstari wa 17b “Mnapokusanyika si kwa faida bali kwa hasara.”
Mstari wa 18: “Kwa maana kwanza mkutanikapo kama
kanisa nasikia kuwa kuna faraka kati yenu.”

Wakorinto wa 2 mstari wa 9 mpaka 11 agano la kale linasema hivi. Mzinzi mlevi mhasherati wanaokula nyama za ngurue hawatauona ufalme wa mbinguni
 
katibu wa muft wa uamsho shekh fadhil soraga amemwagiwa tindikal na watu wasiojulikana asbuh hii huko zanzbar na hali yake ni mbaya amesafirishwa kupelekwa muhimbili muda huu sourc fb wall ya uamsho

tunamwombea neema za mungu zimfunike apone mapema. Tunaishi na jamii ya watu ambao ni wabinafsi sana, wakiona wao tu ndio wanastahili kufuatwa na kusikilizwa katika kila wanalotaka. Haya yakiendelea tanzania yetu itabidi ibadilishe jina. Not any more kisiwa cha amani
 
Mkila Nyama za Watu mtaendelea kulana tu!!@

 
Last edited by a moderator:
Duh huyo. shekhe atakua kajimwagia mwenyewe hiyo tindi kali $ay b amefumaniwa kutoka nyumba ndogo akaona aue soo ajimwagie mtindi mkali hahahaaa lol
 
Duh...Zanzibar inakoelekea aisee sijui.......
Sio Zanzibar tu, kwani hata uku bara unapaonaje, hali ndio hiyo hiyo, kwa ufupi tanzania yote inaelekea kichakani, na mbaya zaidi matukio yote tunayabeba kama mazoea na kujifariji kwamba upepo utapita tu.
 
Mkuu cr9 sijakurupuka mwanzo hii thread ilianzishwa na member wawili baadae ikaunganishwa ikawa moja ingawa kila muanzisha thread alikuwa na maoni tofauti.


Ngongo mi najua Great Thinker kama munavyojiita hakurupi na haropoki bali hutafakari mambo ndiyo naye atoe tamko. Huyu Bwana siwale wanaochoma kamakanisa na tena yupo against na kikundi cha UAMSHO so ni vizuri ukajibidisha kufahamu mambo kwanza. usimhukumu mtu kwa makosa ya wengine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom