Katibu wa mkoa wa Morogoro CHADEMA kujiuzulu

DT125

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
380
573
Kuna taarifa imetolewa na watu walio karibu na Katibu wa Mkoa wa Morogoro CDM Mh. Luanda, kuwa leo atafanya Press na waandishi wa Habari mjini Morogoro kutoa taarifa ya sababu za kujiuzuru kwake. Tayari ameshafikisha barua yake kwa Katibu Mkuu Dr. Slaa aliyeko Morogoro kwenye oparesheni ya M4C. Nakala ameshambaza kwa Makatibu wote wa wilaya. Habari zilizohibitishwa ni kwamba hayupo kwenye oparesheni tangu kuanza kwa M4C mkoani hapa japo amekuwa akionekana kwenye ofisi za mkoa.
 
Amekosa nini? anayejua sababu za kujiuzulu kwake atujuze
 
hayo mapandikizi, wakati anafanya press conference watu wanaendelea na kazi ya M4C
 
Atajihudhuru na kubakia ndani ya chama au atajihudhuru na kwenda anapokutaka?
 
Ana uhuru na haki ya kufanya atakavyo....inawezekana kuna mambo yamemkwaza, au nafasi imekuwa kubwa kulingana na uwezo wake. Naamini nafasi yake itazibwa mara moja na mwingine.
 
Si wote waliotoka Misri na Musa Walifika nchi ya Ahadi (Kanan) Ila wapo waliofanikiwa kufika ili ahadi ya Mungu Itimie!!
 
Kuna taarifa imetolewa na watu walio karibu na Katibu wa Mkoa wa Morogoro CDM Mh. Luanda, kuwa leo atafanya Press na waandishi wa Habari mjini Morogoro kutoa taarifa ya sababu za kujiuzuru kwake. Tayari ameshafikisha barua yake kwa Katibu Mkuu Dr. Slaa aliyeko Morogoro kwenye oparesheni ya M4C. Nakala ameshambaza kwa Makatibu wote wa wilaya. Habari zilizohibitishwa ni kwamba hayupo kwenye oparesheni tangu kuanza kwa M4C mkoani hapa japo amekuwa akionekana kwenye ofisi za mkoa.

Asante kwa taarifa nzuri mkuu. Tena huyu alichelewa sana kujiuzulu maana alikiuza sana chama. Ni kwa bile CDM wana busara lakini ingekuwa chama kingine ungekuta wameshamtema. Bora ameondoka mapema kabla ya 2015 ili aweze kupatikana mzalendo wa kuongoza na kuunda chama kwa upya mkoa wa Morogoro. Viva CDM.
 
Ni haki yake katika demekrasia ya kweli. Inawezekana ameshindwa mwendokasi wa CDM.

Kweli Mkuu umenena.Gwaride la CDM ni la ukombozi na linahitaji mtu wa kiukombozi mwenye uchungu na nchi hii. Hivyo kishindo cha gwaride si mchezo maana tunahitaji nguvu kubwa ya umma kung'oa mzizi wa mbuyu SSM. Saa ya ukombozi ni sasa.
 
jamaa alikua mzigo ndani ya chama katika mkoa wa morogoro, na hicho anachokifanya ni kujikosha ili aonekane amejiuzuru wakati kulikua na panga lingempitia wakati wa majuisho ya mwisho. na hoja ni juu ya utendaji wake dhaifu nbdani ya mkoa wa moro.
 
Aondoke tu!
operation za CDM huwa zinaenda sambamba na kuwa kwangua mamluki,kama chama changu makini huwa kama unamatatizo utajiondoa mwenyewe.Nakumbuka Ndugu Chitambala,huyu alikuwa akigombea ubunge mbeya vijijin kwa tiketi ya CDM akiwa mamluki,mara mbili zote alishinda lakini kwa siri aliuza ushindi alipogundua tumemshutukia kabla ya kumtimua akatangaza kujiuzulu na kuhamamia CCM,leo mtaani anapita kwa shida.mfano wa pili na aliyewahi kuwa m/kiti biharamulo ndg Martini yeye alikuwa akivujisha siri za chama,alipostukiwa alipigwa chini ktk uchaguz wa viongoz ktk kutete nafas yake,ndipo alipochukia na kuhamia CCM,kuondoka kwake kulifanikisha kuleta ushindi wa kit cha ubunge.na huyu aondoke tu,CDM ni kama daladala anashuka mtu mmoja wanapanda wengine 10
 
Wote waliochangia hii thread mpaka sasa wanadhihirisha kutokujua nini hasa kimetokea. Vuteni subira mtajua ukweli wa kilichotokea.
 
Back
Top Bottom