Katibu wa MAT Taifa aanza kupigiwa simu kama Dr. Ulimboka...

Ni wewe tu mwenye akili za mbayuwayu ndie unayejua kuwa madaktari wanalipwa watanzania wanajua madaktari wandai haki zao na ni haki yao ya kikatiba

Haki yao ipi wanaodai ambavyo wamekataliwa? unadai haki kwa kuwaweka rehani wagonjwa, huna mwanao anaeumwa na kwenda Muhimbili ndiyo maana unasema hayo.
 
Kichwa chako ni matope hata tukigonga na nyundo hutaelewa aliyewaweka wagonjwa rehani ni mwenyekiti wako wa chama cha CCM,Raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amri jeshi mkuu Mh.Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushindwa kukusanya kodi,kubuni njia sahihi za uchumi,kupunguza matumizi ya serikali,wizi wa wazi wa mali za umma,fedha zote hizo angezidhibiti leo hii asingekuwa anapanga Kumuua daktari ulimboka angekuwa anaagiza hazina kutekeleza matakwa ya madaktari
 
we acha ubwege! Kama unauchungu na nchi hii jiulize ni kiasi gani hao wapumbavu unaowaita viongozi ambavyo wanaiba na kujinufaisha binafsi nafamilia zao wakati ni mali ya taifa la tanzania? Kwani wanatofauti gani na wauaji ambao wanaua watu pasipo na sababu, kama nchi hii ingefuata misingi ya utawala bora pasingetokea dr ulimboka na wala migomo tusingeisikia, zaidi hao viongozi wako wala rushwa wangekua marehemu yaani wangekuwa wameshanyongwa tusingeshuhudia upuuzi huu, nenda china uone kama kuna ujinga huu wa mtu kuiba kisha anaundiwa tume na baadae anapewa kitengo kingine, ila madaktari wanapodai haki zao wanaonekana wauaji pumbaaaaaaf zenu wote wenye fikra mgando kama fisi maji.

Wewe achana na viongozi, hapa tunaongelea wagonjwa wetu wanaokufa kwa kuwekwa mateka na hawa viongozi wa madaktari wanaotumiwa ili "nchi isitawalike"? huna mgonjwa wako aliyepo hospitali kwa wakati huu, au wagonjwa zako wanaenda kwenye hospitali za MoU tu.

Usiweke rehani wagonjwa wetu kwa wizi na ufisadi ambao leo hii ndiyo unaibuliwa na kuchukuliwa hatua.
 
Kichwa chako ni matope hata tukigonga na nyundo hutaelewa aliyewaweka wagonjwa rehani ni mwenyekiti wako wa chama cha CCM,Raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amri jeshi mkuu Mh.Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushindwa kukusanya kodi,kubuni njia sahihi za uchumi,kupunguza matumizi ya serikali,wizi wa wazi wa mali za umma,fedha zote hizo angezidhibiti leo hii asingekuwa anapanga Kumuua daktari ulimboka angekuwa anaagiza hazina kutekeleza matakwa ya madaktari

Kumbe ni Kikwete na si maslahi ya madaktari? sasa mnachokificha ni nini siku zote? mmeshindwa kwenye majukwaa ya siasa mnatumia wagonjwa? hayo ndio maelekezo mnayopewa?

Sasa ndio msahau kabisa kuwa kuna siku mtakuja kuitawala hii nchi. Mkimaliza wagonjwa ingieni mitaani.
 
Tafadhali Zomba usiwe mjinga, na kujaza jaziba zisizonatija ,sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote ,lakini pia sipingani na wale wanaotaka na kupenda siasa kwa ufuasi kama mimi ambavyo ni mfuasi wa siasa za ukweli na uhakika

Ngoja ni Kwambie Madaktari ni wananchi wa nchi hii na wanayo haki ya kuonyesha hisia zao pale inapoonekana wanapuuzwa kwa makusudi na watawala ili kuboreshewa maslahi yao na maeneo wanayotendea kazi kama watanzania wengine walivyoboreshewa kwenye maeneo yao ya kazi

Kuwaunganisha madaktari na siasa wakati wao wamesimamia haki yao ya msingi ya Kikatiba kudai haki nadhani unajichlewesha mwenyewe kwenye ufahamu sitahiki
swala la kusema hatutawala nchi hii kamwe nadhani unapotoka sana,kwa sababu mpaka sasa tumeshajua kwamba usalama wa taifa ndio wanaovuruga demokrasia,jeshi wanajua hilo,polisi wanajua hilo,wananchi wanajua hilo

lakini duniani pote hakuna bunduki,wa kifaru kinachozidi nguvu ya umma kama wananchi wameamua chama chochote kitatawala hata ikibidi baada ya kuua wengi tu

Aliyewamaliza wangojwa ni serikali dhaifu ya CCM na haitabaki salama kwa hili
 
waache chuki kila mtu anahaki ya kuishi .wasitishiane maisha pale mtu anapotetea maslahi ya wengi
 
Ungekuwa unafatilia siasa za ukweli ungejuwa kuwa madaktari mapaka waziri na naibu wake na katibu mkuu wametolewa kazi hizo ili kuwakubalia matakwa yao. Mishhara nyumba, namadai mengine kibao yameshatimizwa na wanaambiwa mengine tunayatimiza kuanzia bajeti hii ijayo, sasa ni nini zaidi kinachowafanya wauwe wagonjwa wetu.

Kwanza hao madaktari hawatakiwi walipwe zaidi ya wengine kwani wao wameruhusiwa kufanya kazi zao kwenye kliniki na hospitali za private ili wazidishe vipato vyao. Lakini bado tu.
 
Hapo ndipo unapojichanganya nani ambaye hajaruhusiwa kufanya ujasiriamali sio azimio la Zanzibar lilopitisha hili kiasi cha kwamba wafanyakazi wengine wote wa serikali wanaendesha miradi yao bila wasiwasi,daktari maisha yake ni hospitali fanya sensa uone hata dispensary za madaktari hapa DSM zinafika hata 50, mara nyingi wanahama hospitari moja hadi nyingine angalau kujazia kibaba
ukweli mahitaji yao hayajatimizwa na ingekuwa serikali ya busara ingetumia dialogue zaidi ya mapambano na mauaji siku zote waswahili walisema kauli mali lakini sio dharau na kuthibitisha vitu vya uongo
 
Nina hakika mchezo huu utaigharimu nchi kuingia kwenye machafuko yanayoepukika
 
kicho kimrija kinachokupa kiburi kutetea serekali mbovu kitakatika tu.kama waligoma na hicho kiserekali kikasema kitatatua hayo madai kimefanya nini.ukiendelea kutetea upuuzi na wewe kimrija kikikatika watakufanyia zaidi ya ulimboka.tumia akili yako sawasawa.
 
Hapo ndipo unapojichanganya nani ambaye hajaruhusiwa kufanya ujasiriamali sio azimio la Zanzibar lilopitisha hili kiasi cha kwamba wafanyakazi wengine wote wa serikali wanaendesha miradi yao bila wasiwasi,daktari maisha yake ni hospitali fanya sensa uone hata dispensary za madaktari hapa DSM zinafika hata 50, mara nyingi wanahama hospitari moja hadi nyingine angalau kujazia kibaba
ukweli mahitaji yao hayajatimizwa na ingekuwa serikali ya busara ingetumia dialogue zaidi ya mapambano na mauaji siku zote waswahili walisema kauli mali lakini sio dharau na kuthibitisha vitu vya uongo

Kumbe hata unachokiongelea hukijui.
 
...namshauri Dk. Mkopi asipuuzie suala lililompata mwenzie:A S 114:. Chukuwa tahadhari dokta. Lisemwalo lipo kama halipo LAJA! ...kinga ni bora kuliko tiba.

May God help this victim to recover soon. Pole Dk Ulimboka
 
Kichwa chako ni matope hata tukigonga na nyundo hutaelewa aliyewaweka wagonjwa rehani ni mwenyekiti wako wa chama cha CCM,Raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amri jeshi mkuu Mh.Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushindwa kukusanya kodi,kubuni njia sahihi za uchumi,kupunguza matumizi ya serikali,wizi wa wazi wa mali za umma,fedha zote hizo angezidhibiti leo hii asingekuwa anapanga Kumuua daktari ulimboka angekuwa anaagiza hazina kutekeleza matakwa ya madaktari

Froida, chonde chonde...hujasoma hapo chini nini! Eti System At Work
 
Back
Top Bottom