Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
da faiza.....usitake nchekeSerikali inakuja kukuchukuwa tu, haina haja ya kukupigia simu. Wacha uongo.
Nyie ndio wale mafataani, mnalala mkiamka mnakuja na ufataani wa kuifanya Serikali ionekane chombo kibaya sana.
Mbona siwaoni kuongelea wagonjwa wanaokufa kwa kukosa kuhudumiwa na hao madaktari? mbona hamuongeleai kuwa wamekiuka amri za mahakama? mbona hakuongeleei kuwa madai yao mengi yametimizwa? mbona hamuongelei kuwa wagonjwa wanateseka na kufa?
Mbona hamsemi huyo Ulimboka eti amepigiwa simu wakamalize mgomo usiku? wacheni ufataani.
Mnaleta ufataani eti kupigiana simu. Kila anaeleta mgomo wa kuwatibu wagonjwa wetu anastahili hukumu ya kifo.