Katibu wa CHADEMA Nyamagana ahamia CCM

Ni haki yake ya kikatiba na demokrasia.

Ila nakumbuka illiwahi kuandikwa magazetini kwamba Chadema wilaya hapo Nyamagana wanasusia kampeni, mpaka ikabidi ngazi ya mkoa iingilie kupiga kampeni.

Labda hii ina uhusiano fulani na kilichotokea sasa.
 
atatuongezea wapiga kura, namtakia kila la heri japo kura yeke lazima atupatie
 
Tusiumize vichwa,let us keep on concentrating on our strategies...mwacheni aende atajuta!
 
Nimesikia taarifa katika kituo cha star tv jioni hii kuwa "katibu" wa chadema wilaya ya nyamagana amehama na kujiunga na ccm!

Sababu ni kwamba sera za chadema hazitekelezeki.

Ama kweli kila mtu anatafuta pa kula kwa sasa ma masha anajaribu kutafuta namna yoyote ile ili wana nyamagana waone kuwa chadema haifai,....

swali ni kwamba,huyu mama kaenda kwa sababu kapewa "chakula" au ni kweli watu wa nyamagana twambieni?

Na aende salama ni kirusi hicho ngoja kiondoke sisi ndo kumekucha tutagangamala mpaka kieleweke. Anaenda ambako chama kinamfia JK mikononi?!! Hamwoni wakubwa walivyomsusa?? HUYO KATIBU MUNGU AMREHEMU!!!!!!
 
Nyamagana hawajui, watu kule milimani patachimbika na Masha atakula vumbi safari hii hata atoe nini lakini hatoki. Na wakiiba wakurya wataua mtu subirini tuone.
 
Watu wengine bwana wameshazoea kuwa kwenye vyama vya upinzani,ilipokuwa ccm madarakani walikuwa Chadema,baada ya Oct,31 Chadema itakuwa madarakani wao watakuwa ccm.
 
Dakika za majeruhi hizi watu wanapewa donge nono hawana jinsi kwani njaa inawasumbua lakini haitobadilisha maamuzi ya wapiga kura.
 
Kweli njaa ni mwanaharamu. Matumbo haya yatatuua. Hata hivyo kuhama kwake hakuna impact kwa Chadema. Mwache aende salama. Asije akarudi, akifanya hivyo tutampaka kinyesi cha kuku.
 
Kuua ni dhambi ila huyu ingekuwa China basi angeshachinjwa zamani. Me ningepeleka jiwe la kunolea panga. Mwacheni arest in peace!
 
Katibu wa CHADEMA wilayani Nyamagana bi zaitun amekabizi kadi ya chama hicho leo kwenye mkutano wa kampain wa mgombea ubunge wa jimbo hilo bwana Masha.

source; star tv asaiv


Ukweli ni kuwa ni KATIBU WA CHADEMA WA TAWI LA CHUO KIKUU ST.AUG, NA SIO WA WILAYA NYAMAGANA, AMEHAMA NA WATU WENGINE 30 WA VYAMA VINGINE VYA UPINZANI. BINTI MDOGO KAMA YULE HAWEZI KUWA KATIBU WA CHADEMA WILAYA!!

MYTAKE:
watakuwa ni wanafunzi walio nunuliwa, kwani hali ya MASHA inaoneka ni mbaya hata anavyoongea anaonekana amekata tamaa!
 
hahahahahaha wanaweweseka na kuanza kuwanunua watu dakika za lala salama! Imekula kwenu 2010. :peace:
 
Kweli njaa ni mwanaharamu. Matumbo haya yatatuua. Hata hivyo kuhama kwake hakuna impact kwa Chadema. Mwache aende salama. Asije akarudi, akifanya hivyo tutampaka kinyesi cha kuku.

uvumilivu wa kisiasa ni msamiati uliokosekana katika kamusi ya CHADAMU
 
Baada ya uchaguzi atarudi tu, wakati huo kishakula milioni zake ila hasitegemee kama akirudi atapata tena hicho cheo. Mie nilifikiri Wenje ndo kahamia SISIEMU, kumbe ni huyo opportunist. Aangalie atabaki kuachia pembe ya nyuzi 45 maana Masha hatakuwa tena waziri kuanzia jumapili.
 
Back
Top Bottom