Katibu wa bunge na Spika wake wapimwe akili zao

mamaWILLE

Senior Member
Jul 27, 2011
151
39
leo katibu wa bunge ameutangazia umma kuwa Zitto kabwe yu mzima anaendelea vizuri na matibabu tucwe na wacwac.

Hoja yangu ni kwamba ni kweli tanzania hatuwezi kumtibu mtu mwenye malaria kama ya Zitto? Kweli jamani hata malaria mpaka india? Yaani kweli muhimbili hawawezi kutibu malari? Agha khan hawawezi kutibu malaria? Daa tumekwisha

Madai yangu Zitto haumwi malaria hapa kuna usanii mtupu. Katibu wa bunge na spika wake wakapimwe akili zao hawawezi kutudanganya kiasi hiki. Jamani inatosha sasa kudanganyana.

Na ukiona serikali inalidanga taifa wazwaz basi kuna njama kali sana zimepangwa zidi ya Zitto Kabwe ikiwezekana atoweke duniani. katibu wa bunge akapimwe akili zake.

Mimi kwa kutumia mawazo mazuri kutoka kwa Mungu zitto hasumbuliwi na malaria.

Nina hasira, wapendwa.
 
Aisee sikubaliani na ww hapo uliposema eti kuna njama nzito ikiwezekana Zitto atoweke duniani..
Mi nadhani huu si muda muafaka wa kugeuka wanajimu na kuanza kutabiri yajayo.. La msingi hapa ni kumuombea ili Mungu amponye..
 
Pole shusha pumzi upunguze hasira.

Kama wanadanganya, ukweli utajulikana tu.

Hatahivyo nimemsikia kaka yake redioni akisema zito anaumwa malaria na kwamba anaendelea vizuri. Je, na yeye anadanganya?
 
leo katibu wa bunge ameutangazia umma kuwa Zitto kabwe yu mzima anaendelea vizuri na matibabu tucwe na wacwac.

Hoja yangu ni kwamba ni kweli tanzania hatuwezi kumtibu mtu mwenye malaria kama ya Zitto? Kweli jamani hata malaria mpaka india? Yaani kweli muhimbili hawawezi kutibu malari? Agha khan hawawezi kutibu malaria? Daa tumekwisha

Madai yangu Zitto haumwi malaria hapa kuna usanii mtupu. Katibu wa bunge na spika wake wakapimwe akili zao hawawezi kutudanganya kiasi hiki. Jamani inatosha sasa kudanganyana.

Na ukiona serikali inalidanga taifa wazwaz basi kuna njama kali sana zimepangwa zidi ya Zitto Kabwe ikiwezekana atoweke duniani. katibu wa bunge akapimwe akili zake.

Mimi kwa kutumia mawazo mazuri kutoka kwa Mungu zitto hasumbuliwi na malaria.

Nina hasira, wapendwa.

Nilikuwa naangalia habari hii nikiwa na mama yangu wakati inarushwa,mama yangu aliniuliza swali moja..ana malaria ya namna gani hiyo? Mimi nikasema sijui ila Muhimbili imeshindwa,yeye akasema sasa kama muhimbili imeshindwa kutibu malaria Je,zile hospital zetu za kata kule Same na kwingineko itakuwa habari gani? Kimsingi tukubali tukatae Kaka Zitto anaumwa....
 
Ki uhalisia mambo haya yanachanganya, hapa bado ukweli halisi hata mimi sijau-grasp.

Kama kweli issue ya Malaria mtu inabidi ahamishwe hospital.lakini huko nako akahifadhiwe ICU, na bado tunaelezwa kuwa ikilazimika atapelekwa India mwishoni mwa wiki au mwanzoni mwa next week.

Je hivi hii ni Malaria tu au kuna malaria ya kisasa? hapa tunahitaji kuambiwa ukweli isije ikawa propaganda.

Kikubwa tumuombe Mungu amponye haraka.
 
CCM wanaposema malaria hawana maana ile homa inayo sababishwa na vimelea vya aina ya Plasmodium falciparum, Plasmodium ovale, Plasmodium vivax ama Plasmodium malariae wanao sambazwa na m'mbu aina ya anophele. Malaria ya CCM ni ushirikina kuchanganya na interijensia ya kifisadi.

Kama magamba yalikaa na kuazimia kuwa chama chao hakija anza kuua leo, basi huo ni muendelezo wa kukolimbana tena kwa kasi ya ajabu. Na kwa mtindo huu, LAZIMA WENGI WATAONDOKA kwani dalili za mvua ni mawingu!
 
Madaktari wamesema ni malaria wewe unapinga, hebu tuambie ugonjwa wake sasa.
 
Msiwe na wasiwasi inawezekana Mhe. ana complication ya tu ya
Malariaehivkisukarisis ugonjwa ambao Muhimbili umewashinda. Heri wampeleke India wasije mkata mguu au kichwa.
Namtakia apone haraka
 
Ni muhimu kuliangalia hili kwa umakini hasa ukihusianisha na mambo mengi ya kukanganya ya kisiasa yanayoendelea.
 
inawezekana ili la kutaka kumpeleka india halina ulazima sana, lakini itabidi hiwe hivyo mradi tu serikali ijitoe kimasomaso
 
Aisee sikubaliani na ww hapo uliposema eti kuna njama nzito ikiwezekana Zitto atoweke duniani..
Mi nadhani huu si muda muafaka wa kugeuka wanajimu na kuanza kutabiri yajayo.. La msingi hapa ni kumuombea ili Mungu amponye..

Nimeshindwa kuelewa pia, haiwezekani malaria ikashindikana aghakhani mgwonjwa awe reffered mnh. Kuna taarifa haijawekwa wazi
 
leo katibu wa bunge ameutangazia umma kuwa zitto kabwe yu mzima anaendelea vizuri na matibabu tucwe na wacwac.

Hoja yangu ni kwamba ni kweli tanzania hatuwezi kumtibu mtu mwenye malaria kama ya zitto? Kweli jamani hata malaria mpaka india? Yaani kweli muhimbili hawawezi kutibu malari? Agha khan hawawezi kutibu malaria? Daa tumekwisha

Madai yangu zitto haumwi malaria hapa kuna usanii mtupu. Katibu wa bunge na spika wake wakapimwe akili zao hawawezi kutudanganya kiasi hiki. Jamani inatosha sasa kudanganyana.

Na ukiona serikali inalidanga taifa wazwaz basi kuna njama kali sana zimepangwa zidi ya zitto kabwe ikiwezekana atoweke duniani. katibu wa bunge akapimwe akili zake. Mimi kwa kutumia mawazo mazuri kutoka kwa Mungu zitto hasumbuliwi na malaria.
Nina hasira, wapendwa.

Ah! Ushakiri mwenyewe una hasira, nilikuwa nina majibu makali sasa ngoja niweke pending!
 
leo katibu wa bunge ameutangazia umma kuwa zitto kabwe yu mzima anaendelea vizuri na matibabu tucwe na wacwac.

Hoja yangu ni kwamba ni kweli tanzania hatuwezi kumtibu mtu mwenye malaria kama ya zitto? Kweli jamani hata malaria mpaka india? Yaani kweli muhimbili hawawezi kutibu malari? Agha khan hawawezi kutibu malaria? Daa tumekwisha

Madai yangu zitto haumwi malaria hapa kuna usanii mtupu. Katibu wa bunge na spika wake wakapimwe akili zao hawawezi kutudanganya kiasi hiki. Jamani inatosha sasa kudanganyana.

Na ukiona serikali inalidanga taifa wazwaz basi kuna njama kali sana zimepangwa zidi ya zitto kabwe ikiwezekana atoweke duniani. katibu wa bunge akapimwe akili zake. Mimi kwa kutumia mawazo mazuri kutoka kwa Mungu zitto hasumbuliwi na malaria.
Nina hasira, wapendwa.

ndg ulichokiandika ni sahihi haiwezekani malaria impeleke mtu nchi za nje akapate matibabu kwa hiyo hata hz tiba tunazopewa wanatudanganya hazitibu nadhan hii inajidhilisha wazi..kwa mh zitto hapa ni suala la kilozi japo serikali inajifanya haitambui tena wakicheza watauana mpaka waishe kwa tamaa na uroho madaraka pamoja na wizi mali za wananchi.
 
Kwani Ni Mara Ya Kwanza Zito Kuumwa, kuumwa sio kifo inatakiwa tumuombea apone kama kuna tatizo la ndani hatuwezi kujua mpaka aseme mwenyewe.
 
Kwa jinsi wahindi walivyo watu wa dili, usikute huko ndo kunageuzwa kuwa machinjio rasmi ya watu wenye uchungu na nchi hii. Yote haya yana mwisho. Wanaweza kumtoa mtu duniani lakini hoja zitabaki pale pale na kuendelea kujadiliwa siku zote mpaka kieleweke. Tutashinda tu!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom