Jatropha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2009
- 1,151
- 199
alifanya marekebisho katika ufunguzi wa kikao cha jioni siku hiyo hiyo.hali ya ukosefu wa umakini hapa nchini inasikitisha sana. Ni aibu sana kuona kuwa katibu wa bunge tena mwenye phd anafanya makosa kama hayo na bado amekaa kimya bila kufanya masahihisho na kuuomba radhi umma wa watanzania na wabunge.
Kwa upande mwingine kama mchangiaji mmoja alivyosema kuhusu uidhaifu wetu katika hisabati hali inasikitisha sana. Ukiangalia takwimu zinaonyesha kuwa wastani wa asilimia 82.8 ya watoto wetu wanaofanya mtihani wa kumaliza darasa la saba hufeli somo la hisabati lakini karibu asilimia 40 huchaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari. Hatujui matokeo ya mwaka huu yatakuaje. Kwa ngazi ya kidato cha nne hali nayo ni mbaya sana tu, kwani zaidi ya asilimia 75 ya wanafunzi wanaofanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne hupata f katika hisabati.