Katibu wa BAKWATA Arusha alipuliwa bomu

Watakuwa wanalipiza kisasi yalio tokea mbagala...

Maaskofu waliwaambia msilipizie tunahitaji amani...

Kesi ipo mahakamani msijichukulie Sheria mikononi
 
Mkuu sosoliso tunashukuru kwa dodoso hii kwani wengine wangeanza kuunganisha hili tukio la arusha na matukio yalitokea dar kati ya kanisa na msikiti kitu ambacho ni tofauti kabisa. ni wazi kwamba huu ni mgogoro wao wenyewe kwa wenyewe na ni muendelezo wa chuki za ndani

Nimeona comments za kwenye uzi huu.. Wengi wana-comment bila ya kuelewa au wengine kwa jazba za kidini.. Huu Mkuu hauna mahuciano na Ponda hata kidogo.. Umeshatangazwa sana kwenye vyombo vya habari huu mgogoro na ndio maana ninashangaa Viongozi wa usalama wa Mkoa wa Arusha kuuacha huu mgogoro ufikie hapa ulipofika..
 
Jamani si vema kutoa elimu ya utengenezaji mabomu hadharani. Kuna wajinga wataitumia elimu hiyo kudhuru wengine.

Inawezekana Mkuu maana kuna watu wenye evil minds.. Ila ni hatari sana na mara nyingi wanaotengeneza na kuyarusha ndo wanakuwa wa kwanza au kuumia au hata kufa..
 
Hawa watu wanataka nini? Mara wapige wakristo,Mara wapige waislam wenzao

Do you know who is behind the incidence, how far are you sure that those guys who did that are Muslims. Avoid stereotype and generalization which make yourself look non-sense and imbecile. Wise people speak with evidence and can not speak foolishly unless you tell us that Jamii Forum is full of ******.
 
Too bad.. People killing, People die and Children hurts.. where is the love? Kikwete Kikwete Kikwete.....:whistle:

What is the role of Kikwete here???? You people you are always blaming president, but you can not see the problems with executives who let Kikwete down. You do not play your part properly then you say Kikwete? By the way, nobody is talking about killings that happened when Mkapa was in power. Just to take you back...........
  • Mkapa killed two people at Mwembechai and refused to investigate the incidence because they were Muslims
  • Mkapa killed more than 76 people in Pemba, Pengo and others praised the government for killing.
I tell you 'the people's patience is not endless'. let's speak the truth and be free
 
Kikwete atatoa salamu za rambirambi kama alivyompelekea Kamanda wa Polisi Zanzibar.
 
Katibu wa BAKWATA mkoani Arusha bwana AbdulKarim Jonjo usiku wa kuamkia leo amelipuliwa kwa bomu nyumbani kwake eneo la Esso jijini Arusha hivi sasa yuko hoi katika hospitali ya Mount Meru.

Chanzo: Wapo Radio
Hao Bakwata watajua kuwa kujifanya poa na kujipendekeza kwa maaskofu wala hakuwasaidii kujiepusha na fitna zao.Haja yao ni muislamu na ugomvi baina ya waislamu.
Habari yenyewe imetolewa na WAPO inaonekana waliitwa wawe karibu kushuhudia tukio.Bakwata si wana redio yao,ingeanza hiyo kutoa habari ya kulipuliwa mtu wao na bomu.
Niliandika kuwa kuanzia sasa ni Uamsho mpaka kiama lakini akina Black na Father of All ambaye ndiye Mgomba wakaifuta.
 
What is the role of Kikwete here???? You people you are always blaming president, but you can not see the problems with executives who let Kikwete down. You do not play your part properly then you say Kikwete? By the way, nobody is talking about killings that happened when Mkapa was in power. Just to take you back...........
  • Mkapa killed two people at Mwembechai and refused to investigate the incidence because they were Muslims
  • Mkapa killed more than 76 people in Pemba, Pengo and others praised the government for killing.
I tell you 'the people's patience is not endless'. let's speak the truth and be free

and all the credist went to sheikh Ponda and his Co.
 
Nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti asubugi kuwa huko huko Arusha kuna vijana wametekwa na kukatwa masikio na kisha kutishiwa kuwa Shehe wao atauawa kwenye ugomvi wa kugombea msikiti wa Mianzini kama sio Kichangani, ni sakata hili hili au jingine?

Kweli hii ni dini ya amani.
na huko tanga nimesikia kwamba makanisa kadhaa yameshambuliwa kwa moto ila waumini walifanikiwa kuuzima...ukikosa elimu dunia unakosa na maarifa...
 
Dhambi ya Ubaguzi inawatafuna na huo ni mwanzo tu, kwani MAJIVU YA MAKANISA waliyoyachoma hayata potea bure na MACHOZI ya wakristo waombaji hayata mwagika bure.
 
Ninasikitika sana kwa matukio ya aina hii. Wale wanaoshabikia vitu hivyi tunawafuatilia maana amani si kitu cha kuchezea hata kidogo. Haijalishi wewe ni wa dini gani au itikadi gani ya vyama vya siasa, tukiendekeza mambo kama haya tutaingia vitani sisi kwa sisi. Ni ujunga sana kushabikia yeyote aliyefanya haya.
 
sheikh kikwte kalala usingizi wa pono poti
Usingizi wa pono kweli.Atakaposhtuka waislamu wenzake wamemalizwa na yeye muda wake madarakani umekwisha.
Huu usingizi wake ndio unaowapa kiburi maadui zake walete fitna wanavyotaka katika nchi.
Hata hivyo atakayedhurika ni yeye na waislamu lakini uislamu atauwacha hivyo hivyo.
 
Hawa wenzetu mawazo yao yako kwenye ubwabwa! Hawafikirii maendeleo kama kujenga mashule,hospitali,Varsities,kupeleka watoto shule.Ukiwa na akili ubwabwa kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom