Katibu wa BAKWATA Arusha alipuliwa bomu

Hapa sasa tutapata majibu mazuri!

wadau watakuja na majibu mzuri ya wanachogombania!

Hii issue ya Arusha inahusu makundi mawili yanayogambania Msikiti na mali zake.. Na ni mgogoro wa muda mrefu ambao Serikali Mkoani Arusha walikuwa wanaudharau.. Leo umefikia hapo kulipuana na mabomu.. Viongozi wa usalama wa mkoa wa Arusha wanaendelea na kazi zao..! Hii nchi haina neno la uwajibikaji kwenye kamusi yake.. Damn..
 
kuna tofauti kati ya muislamu, mnafiki na makafari hao wa kati ni waislamu wanopingana na sheria sahihi za dini na wa mwisho wamekataa kuamini kabisa kwahiyo inapotekea haja ya kusonga mbele dini ya Allah n kukukawa na upinzi wa dhahiri toka kwa makundi hayo mawili basi n bora zaidi kuliandama kundi la wanafiki kuliko makafiri
 
Naogopa HAPA KAMA TUMESHAFIKA HUKO SIKU NYINGINE
UTASIKIA IKULU IMELIPUKA
 
wamesema wataandamana tar 2 kuiondoa bakwata so wameshaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe.. Bora waanze kumtafuta mchawi huko huko kwao badala ya kuvamia makanisa


Mimi kila siku nasema uamsho ni magaidi hamsikii!!!
 
waliowajibika hawajajieleza kuhusika kwao? taliban au alqaeda wakifanya tukio wanasema wao ndio wamewajibika
sasa hawa wa Arusha ni watu gani?
 
Bomu yaani haya ya kutupa kwa mkono au bomu la kutengeneza la petroli? Sidhani kama bongo silaha kama mabomu zinaweza kumilikiwa na raia!
 
The chickens are coming home to roost-By Malcom X.
( yaani uovu waliotutendea sasa unawarudia wenyewe)

Mlichoma makanisa, Sisi hatukulipiza kisasi kwenu na Meli ya zenji ikazama kwa mara ya 2.

Pia kachoma tena makanisa Mbagala, sasa haya ndio mavuno ya uovu wenu kuuwana ninyi kwa ninyi.

"Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako, watakutokea kwa njia 1, Lakini watakimbia mbele yako kwa njia 7.
(kumbukumbu ya torati 28:7)
 
Aaaa...sio Matokeo ya magazeti yenu ya Nyakati na Msemakweli, Radio Maria,Radio Tumaini, Tv ATN, Tv Tumani na Tv Trenit
Wewe umekalili tu za Waislam kweli udini umekutalawa.

Duh! Kumbe wakristo wana vyombo vingi! Bado Faraja Tv ya Mch. Dr. Lwakatare, ya Kakobe iko njiani, KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani nao wanaanzisha tv yao, radio za makanisa ndo usisime. Kweli siku za mwisho INJILI itahubiriwa sana..
 
Hazijazagaa ila siku ya majibizano na hawa polisi mchwara ndo itajulikana kama zimezagaa au la pale vidifenda vyao vitakapowaka!
Tunaanza na mmojammoja...kwanza turekebishane adabu wale wanafki wote halaf ndo tuamie kwa makafiri sasa...

Kweli mtu akikwambia wewe mtoto ujuea amekutukana tusi kubwa sana.
Akili ya mtoto inamtosha yeye tu.

Wewe ndugu yangu sitaki nikuite mtoto,ila inafaa niseme una akili za kitoto kweli. Ukikuwa utaacha.
Naamini kama ungekuwa na familia inayokutegemea usingeshabikia ujinga kama huu. Vinginevyo utwambie kama umeishaandaa sehemu ya kuitunza na kuihifadhi familia yako punde tu nchi itakapoingia kwenye machafuko.

Mimi naona watu mnashabikia tu kuua wenzenu,lakini mnasahau kwamba kwenye machafuko,si nyie tu bali hata familia zenu zinaweza kuteketea pia kutokana na kosa la kijinga kabisa ambalo leo hii mnalishabikia. Jaribuni kutumia busara japo kidogo jamani. Nchi ni yetu sote,si ya wakristo wala waislam peke yao. Kinachotakiwa ni kuheshimiana tu. Acheni chuki za kijinga. Hivi wewe unawezaje kuwa na chuki dhidi ya jirani yako ambaye wote mnashindia mlo mmoja? Hii ni akili kweli?!
 
Wana JF

Kwa sasa tuichukue kama tetesi.

Nimepewa taarifa hivi punde kuwa Katibu wa BAKWATA Arusha AbdulKarim Jonjo leo usiku amelipuliwa kwa bomu nyumbani kwake eneo la Esso jijini Arusha. na yadaiwa kuwa hali yake ni mbaya ambapo amelazwa katika hospitali ya Mount Meru mjini humo.

Naendelea kufuatilia taarifa zaidi na nitawaleteeni nikishazipata. Pia kwa yoyote alieko Arusha anaweza kutupa taarifa zaidi kama atazipata mapema kabla yangu
 
[h=5]RadioOneStereo
[/h][h=5]Breaking News:Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Arusha ABDULKARIM CHONJO amejeruhiwa vibaya na amelazwa katika Hospitali ya Mount Meru baada ya nyumba yake kulipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu usiku wa kuamkia leo
[/h]
 
Back
Top Bottom