Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya CDM inaonyesha kuwa ni chama cha hatari hivi wasijiunge nacho.

Pia imefika mahali wanatumia viongozi wa jamii ya Kimaasai kuwalaani watakaojiunga na Upinzani. Chanzo mahojiano na Sunrise Radio. Na bado!! Nawasilisha!

Ni kweli kabisa...amejivua na amehamia CDM....imeoneshwa na ITV ktk kipindi ya Habari zilizotufikia...Lakini na washauri waCDM kuwa na makini sana na hawa jamaa wanakuja na watakaoendelea kuja tena kwa speed...maana inawezekana ni janja ya wanamagamba kuujumu CDM...Nawasilisha
 
[h=6] MAAFA CCM. Katibu wa itikadi na uenezi CCM mkoa wa Arusha,pamoja na diwani wa kata ya sombetini Mh. Mawazo WAMEHAMIA CHADEMA. Kwetu pazuri,hongereni sana. Peoplezzzz![/h]
 
MAAFA CCM. Katibu wa itikadi na uenezi CCM mkoa wa Arusha,pamoja na diwani wa kata ya sombetini Mh. Mawazo WAMEHAMIA CHADEMA. Kwetu pazuri,hongereni sana. Peoplezzzz!

Huyo mwingine nimemsoma toka mornie, vp hapo kwenye red pamekaaje
 
nimepata picha kama ulikuwa toilet ukakurupuka huku unahema, watu wanakutuliza mbona twaelewa, unaanza kufunga mkanda taratibu
 
Hao SISIMIZI tu CCM chama kubwa unafurahi nini?, ccm ina wenyeweeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
huyu jamaa ameingia Jf amechelewa akasoma thread hizi zilizopo humu tangu asubuhi,halafu hakuamini macho yake .... ndiyo kaamua kutengeneza thread yake ya marudio ... anyways its fine
 
Au ana maana yule alikuwa wa wilaya ya Longido na sasa huyu wa mkoa wa Arusha? Hebu tupeni majina ya hawa waenezi wawili.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom