Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif alipongeza jeshi la polisi

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Kukaa kimya bila kusema chochote baada ya wafuasi wake kuandamana na kupigwa mabomu ni sawa na kukubaliana na kitendo kile.
 
Kichwa cha habari "hakibebi maudhui ya habari yenyewe"

Sasa ulitaka arudie kichwa cha habari au?? Mbona kila kitu kinajieleza hapo. Changia hoja mkuu!!!

Jamaa anakula bata ikulu ya unguja kasahau wanachama wake!! CCM washa mroga huyo.
 
Back
Top Bottom