Katibu mkuu wa CCM yuko wapi na anafanya nini?

Mukama ni mropokaji ndio maana wamemwambia akae kimya. Yeye kaharibu uchaguzi igunga (japo ssm walishindwa), yeye aliropoka siku ya msiba wa makani akaharibu. Sasa wameona kuwa bora wamnyamazishe
 
Sisiem ni maiti iliyoko mochwari inangoja siku ya mazishi na kamati ya mazishi inaratibiwa na Nape, mweka hazina nchemba akishirikiana na Tendwa
 
Nasikia alitaka kubwaga manyanga maana ameshindwa kulivua gamba,akaambiwa asubiri kidogo!Nahisi ameshaona kuwa Magamba ni ya wenyewe!Nampa pole sana maana alikuwa hajui anakoenda.pu...........................vu!
 
Back
Top Bottom