Katibu Mkuu wa CCM Hayupo nchi!!

Kutokana na makada nguli wa Chama Cha Mapinduzi kuwa wasemaji wakati kuna Msemaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Yusuf Makamba inaonekana kama kunakitu nyuma yapazia kama tunavyojua ccm wanataratibu zao nadani ya chama lakini hili lakujibu hoja za CCM limetutia shaka yawezekana katibu kasafiri kifkira!!
Wamemfanya kitu mbaya
images
 
Mzee Makamba kisha ambiwa kuwa kibarua kimeota nyasi kwahiyo ameamua kwenda kwa wagosi kwenda kuchanganya mambo nyasi zikauke aendelee na mzigo!! Kimya hiki si cha bure; NEC watakutana na mgosi mtasikia bado anaendelea!!
 
Back
Top Bottom