Katibu Mkuu wa CCM Hayupo nchi!!

Mimi sioni Chadema anataka ajibiwe nini na Chama tawala, kwa maana kuwa sioni swali lake zaidi ya kupanda kwenye majukwaa na kutoa lugha chafu za kuhatarisha maisha na amani ya nchi.

majibu yao walishayapata Arusha na sasa dawa yao ipo jikoni na siku zao zinahesabika.

Ama....mimi nildhani baada ya Arusha Polisi wenu wamejifunza kumbe bado?
 
... kupanda kwenye majukwaa na kutoa lugha chafu za kuhatarisha maisha na amani ya nchi.
....

Nisaidie kauli kama 3 tu za kuhatarisha usalama wa nchi walizotoa viongozi wa Chadema ili twende sawa...
 
hata mimi nimezimiss busara-wehu za huyu mzee zilizoisaidia CDM kukua.
Huyu amenyamazishwa nini?
 
Tena Chato...jimboni kwake kabisa

Mgonjwa zaidi sijui nani magufuli naye, kapanda mzuka ananena kwa luga kuiombea CDM, Ishindwe na ilegee kweli shetani katoka mbagala ibilisi katoka sumbawanga wamekutana kariakoo!
 
Kutokana na makada nguli wa Chama Cha Mapinduzi kuwa wasemaji wakati kuna Msemaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Yusuf Makamba inaonekana kama kunakitu nyuma yapazia kama tunavyojua ccm wanataratibu zao nadani ya chama lakini hili lakujibu hoja za CCM limetutia shaka yawezekana katibu kasafiri kifkira!!

Wanaogopa atawaharibia Zaidi maana yule ni mtu wa mipasho na wananchi pamoja na wanaCCM washachoka na ahadi.
 
Kwani hujui mkuu, yupo LOLIONDO kwa babu kapanga foleni ya tiba. Kule hakuna mawasiliano kabisa.
:plane::plane::plane::plane::plane:
 
Mimi naona wanasubiri kauli ya kikwete kwani haiwezekani msemaji yupo lakini hakuna jitihada zozote kuhusu hali iliyopo nchini mimi naona kuna jambo labda mwenyekiti kawazuia!!
 
hatutaki cha makamba wala nani kutoka huko CCM sisi tunachotaka ni mambo yanayowagusa wananchi hasa sisi wa chini yafanyiwe kazi, kwanza mi nafikiri kikwete ajiuzuru tu, kwani hata aje nani hatuwasikilizi. CCM mda wenu umeisha muwaachie na chadema waonyeshe mambo yao.
 
na hicho ndicho chanzo cha ugonjwa wake, hiki kizee kimezoea kuvifanyia mzaha sana vitabu vya dini - Bible and Quran

Ah, kananipa raha sana kale kababu. Mwili kontena, akili kisowder!
 
It is much better that guy called yusuph makamba keeps quite because he always fails to address real issues, and on the contary he end up giving offensive, outrageous, and contradictory remarks.

There is one saying that states<it is better to keep quite rather than advertising your ignorance in public domain.
 
It is much better that guy called yusuph makamba keeps quite because he always fails to address real issues, and on the contary he end up giving offensive, outrageous, and contradictory remarks.
There is one saying that states&lt;it is better to keep quite rather than advertising your ignorance in public domain.
But what his waiting for?should say something!
 
It is much better that guy called yusuph makamba keeps quite because he always fails to address real issues, and on the contary he end up giving offensive, outrageous, and contradictory remarks.

There is one saying that states<it is better to keep quite rather than advertising your ignorance in public domain.


makamba was silenced when he stood and criticised comments made by a member of the mafia clan.
 
Yule mzee wa Vioja huwa hana Hoja na vioja vyake huwa havifikirii anakurupuka tu, wameamua kumpiga chini kaambiwa akae kimya kama hawezi aende JAHAZI ASILIA huko ndo kunamfaa
 
Back
Top Bottom