Katibu Mkuu wa CCM, Aondoke?

FD, as a matter of fact sikufikiria hilo ila it makes more sense than kumuacha tu. Mzee Makamba ana kipaji cha kuzungumza na ushawishi na hasa kuweza kujibu hoja kwa kutozijibu hoja. Niliangalia Mwanri anavyozungumza kuhusu masuala mbalimbali, kwa kweli si mshawishi bali ni mtu ambaye anafaa kutoa maagizo na kufuatilia utendaji. Mzee Makamba kwa upande mwingine ni mtu ambaye anaweza kukiuza CCM kwa ucheshi wake, na kwa kutumia 'wit' na kwa vile anaijua vizuri CCM nadhani si mtu wa kumpoteza kabisa.. Hivyo ila hilo la Katibu Muenezi nadhani itakuwa demotion kwake. Ila kwa kada kama yeye nadhani atapiga saluti na kuwa tayari kukitumikia chama.

Je Mzee Malecela asipoutaka/pewa Umakamu tena, anaweza kuwa Katibu Mkuu?

Amazing! Yaani hiki nacho ni kipaji ama?
 
si ndiyo hicho kinachosifiwa mtu pori, hivi hujaona maelezo ya Khatibu kuhusu tuhuma za ufisadi. Unakumbuka alijibu hoja gani?
 
1.
Mzee Mwanakijiji
JF Senior Expert Member Join Date: Thu Mar 2006
-----------------------------------------------------------------

Mzee ES, yaani jinsi alivyoehandle suala la Muafaka nusura kuufanya ucollapse hadi Rais akaingilia kati unaita kule ni kushinda? Jinsi alivyoshindwa kuiongoza CCM kwenye suala la Zitto hadi juzi wanatupiwa michanga na watoto unaita huko ni kushinda,

Mkuu mwenzangu MMJ,

Please be honesty with yourself kabla ya kuwa honesty na wengine hapa, kweli Makamba anahusika na uamuzi wa Muafaka? HOW? Katibu mkuu wa CCM, anakwenda kwenye muafaka kuwakilisha matakwa ya mwenyekiti wake, hawezi ingia huko na idea zake, the matter of fact kwenye hili la muafaka ni suala la international na marais Karume na Kikwete, na CUF, katibu wa CCM anaweza kufanya nini hapo zaidi tu ya kusikiliza ili akaripoti kwa mwenyekiti?

Hoja ya kumuondoa Zitto, bungeni ilipikwa na Luwassa, not Makamba, interest ya serikali bungeni inasimamiwa na Luwassa, not anybody else! You know that mkuu, Makamba ameshindwa kumuangusha Kigoda huko Tanga leo anaweza kuwashawishi wabunge wamfukuze Zitto bungeni, na ubunge wake wa kupewa na rais? are you serious mkuu au unatania? Hivi umeshawahi kusikia jinsi wabunge wa kupewa na rais wanavyodharaulika huko bungeni, inclding Makamba? Huo ubavu hana mkuu, uamuzi ulikuwa wa Luwassa.

2.
Jinsi ambavyo ameiongoza CCM katika sakata la rushwa ndani ya chama hicho hadi Rais aingilie kati unaita huko ni kushinda. Kaka unataka kusema jinsi serikali ya CCM ilivyoshindwa kutetea maslahi ya nchi kwenye mikataba kiasi cha kukubali kufanya siri mambo muhimu hadi yanaibuliwa na wapinzani, ndiyo kushinda huku?

Makamba katibu wa CCM, anahusika vipi na mikataba ya nchi, au kasheshe la BOT? hivi ni kweli Butiku, alimlaumu Makamba? Wafadhili wetu hivi ni kweli wanamlaumu Makamba? Wafisadi wanahusika vipi na Makamba? Waliokwenda kuhubiri wananchi ni viongozi wa serikali sio wa CCM mkuu, au? Masuala ya ufisadi na mikataba ni masuala ya serikali na vyombo vya dola, sio CCM, CCM is too big na hii ishu mkuu, hii ni ishu ya rais kama rais sio kama mwenyekiti wa CCM.

3.
Unataka kusema kuwa jinsi ambayo wameshindwa kupelekana wenyewe mahakamani kwa tuhuma za ubadhirifu na na wanaamua kuminyiana kishikaji ndugu yangu unakuita kushinda? Yaani unataka kusema serikali ya CCM iliyoshindwa kusimamia Benki Kuu hadi watu wanachota mabilioni ya fedha mchana kweupe na leo hii wanazawadiwa vyeo na kupepewa na bendera kweli ndiyo kushinda huko kaka?

Hii ishu again kama iliyopita it has nothing to do na katibu wa CCM, no way ninajua kuwa uanelewa sana kwa sababu one time wewe ulikuwa mtetezi mkubwa wa CCM humu forum, kwa hiyo so far unfanya makusudi tu kupindisha ukweli mkuu, katibu wa CCM hawezi kuhusika na makataba ya nchi, yeye huhusika na kuimarisha chama na uchaguzi tu!

4.
Yaani unataka kusema mfano ya kushinda viti vya udiwani ambapo leo madiwani wanalipwa chini ya House Girls na ma Bar Maids, kweli ndiyo ushindi wa kushangilia huo?

Sounds like sizitaki mbichi hizi, yaani kujitayarisha kote kwa upinzani na huu uchaguzi kumbe ni haukuwa wa maaana kabisa maana wanalipwa kuliko House Girls? Makubwa haya!

5.
Sasa hivi CCM wamebanwa na suala la kadhi wanashinda pa kuhemea na jana wamepigwa mkwara kwenye channel 10 na shehe mmoja kuwa wawape kadhi ama sivyo 2010 kweli ndiyo ushindi huo? Suala la Zanzibar lina miaka nenda sasa wanashindwa kulimaliza mara moja wanabakia kupigana vijembe tu, kweli ndio uongozi huo?
kama huko ni kushinda basi kufeli kumepoteza maana
.

Yalikuwa ni mashindano ya kisiasa ngazi ya chini na ukweli ni lazima ukubalike kuwa upinzani wameshindwa, maana makubwa yanatengenezwa na madogo mkuu, hao makadhi si wewe mkuu umesema kuwa hawa watu wa dini tuwe nao macho au? Walipouliwa Mwembe chai na Pemba, si tulisikia kuwa CCM haitashinda tena, lakini mkuu akashinda kwa 80%, au?

Suala la Zanzibar, ni la kwetu sote wananchi sio la Makmba mkuu, au CCM.

Ahsante Mkuu!
 
1.

Mkuu mwenzangu MMJ,

Please be honesty with yourself kabla ya kuwa honesty na wengine hapa, kweli Makamba anahusika na uamuzi wa Muafaka? HOW? Katibu mkuu wa CCM, anakwenda kwenye muafaka kuwakilisha matakwa ya mwenyekiti wake, hawezi ingia huko na idea zake, the matter of fact kwenye hili la muafaka ni suala la international na marais Karume na Kikwete, na CUF, katibu wa CCM anaweza kufanya nini hapo zaidi tu ya kusikiliza ili akaripoti kwa mwenyekiti?

Hoja ya kumuondoa Zitto, bungeni ilipikwa na Luwassa, not Makamba, interest ya serikali bungeni inasimamiwa na Luwassa, not anybody else! You know that mkuu, Makamba ameshindwa kumuangusha Kigoda huko Tanga leo anaweza kuwashawishi wabunge wamfukuze Zitto bungeni, na ubunge wake wa kupewa na rais? are you serious mkuu au unatania? Hivi umeshawahi kusikia jinsi wabunge wa kupewa na rais wanavyodharaulika huko bungeni, inclding Makamba? Huo ubavu hana mkuu, uamuzi ulikuwa wa Luwassa.

2.

Makamba katibu wa CCM, anahusika vipi na mikataba ya nchi, au kasheshe la BOT? hivi ni kweli Butiku, alimlaumu Makamba? Wafadhili wetu hivi ni kweli wanamlaumu Makamba? Wafisadi wanahusika vipi na Makamba? Waliokwenda kuhubiri wananchi ni viongozi wa serikali sio wa CCM mkuu, au? Masuala ya ufisadi na mikataba ni masuala ya serikali na vyombo vya dola, sio CCM, CCM is too big na hii ishu mkuu, hii ni ishu ya rais kama rais sio kama mwenyekiti wa CCM.

3.

Hii ishu again kama iliyopita it has nothing to do na katibu wa CCM, no way ninajua kuwa uanelewa sana kwa sababu one time wewe ulikuwa mtetezi mkubwa wa CCM humu forum, kwa hiyo so far unfanya makusudi tu kupindisha ukweli mkuu, katibu wa CCM hawezi kuhusika na makataba ya nchi, yeye huhusika na kuimarisha chama na uchaguzi tu!

4.

Sounds like sizitaki mbichi hizi, yaani kujitayarisha kote kwa upinzani na huu uchaguzi kumbe ni haukuwa wa maaana kabisa maana wanalipwa kuliko House Girls? Makubwa haya!

5..

Yalikuwa ni mashindano ya kisiasa ngazi ya chini na ukweli ni lazima ukubalike kuwa upinzani wameshindwa, maana makubwa yanatengenezwa na madogo mkuu, hao makadhi si wewe mkuu umesema kuwa hawa watu wa dini tuwe nao macho au? Walipouliwa Mwembe chai na Pemba, si tulisikia kuwa CCM haitashinda tena, lakini mkuu akashinda kwa 80%, au?

Suala la Zanzibar, ni la kwetu sote wananchi sio la Makmba mkuu, au CCM.

Ahsante Mkuu!

Hizo tofauti kubwa na nashukuru sana kwa kueleza humu forum ili watu waweze tofautisha/kuelewa !

ningesema mengi lakini niko busy tu hapa najaribu kwenda sehemu !! keep it tyt !
 
Guys; CCM ni chama kikongwe kinachoishi kwa misingi imara,todate hakuna mpuuzi aliyeichokonoa hiyo misingi na ndiyo maana hatuoni ukongwe wake,rejeeni 1980,84,87,88,94,95,2000,2005. Makamba yupo pale kuhakikisha chama kinashika hatamu,uhakiki huo unafanyikaje ni siri iliyomo ndani yao,it is a party full of Comrades,kwa janga hurejea ktk msingi uliokianzisha chama , na huko hakuna longolongo.

JK kumpatia Makamba nafasi inaamanisha alihitaji mtaalam wa aina ile kukiongoza chama ktk utendaji. No way Makamba kuongoka.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
mkjj...

unajua mkuu mie unanishangaza na kauli zako baadhi ya wakati,hayo mambo ya NGOSWE WAACHIE AKINA NGOSWE WENYEWE waamue kama MAKAMBA anafaa ama vp?
 
Tatizo la Makamba ni Mwongeaji sana, ndo maana anaweza kubeza muhafaka bila kufikiri impact ya statement zake
 
Sisi hapa tuendelee kupiga domo tu ila tusisahau kuwa at the end of the day CCM ndio itaamua kama Makamba anawafaa au la!
 
Kwa mujibu wa chanzo changu ndani ya CCM kuna habari kuwa huenda Mzee Makamba akanusurika kwa kupigiwa kura za itifaki. Hata hivyo, wajumbe wa Mkoa wa Tanga wamedhamiria kupunguza kura za Makamba. Kuna habari pia, kuwa jina la kateni George Mkuchika linatajwa kama mrithi wa Makamba katika nafasi ya Ukatibu Mkuu. Na tusubiri tuone.
Kwa habari zaidi katika picha, tembelea: http://mjengwa.blogspot.com
 
anagalau wewe habari zako zinakuwa za kweli. Tunaweza kuziamini maana wewe ndiye uliyetupashe habari za Msekwa mapema kabisa kabla ya hao wanaojifanya wapo ndani ya kikao kinachoendelea!
 
watu tuna habari za ndani..mie ndio nimetoa habari mapema hata kabla ya mjengwa katika thread ya Live..
 
watu tuna habari za ndani..mie ndio nimetoa habari mapema hata kabla ya mjengwa katika thread ya Live..

Mkomboziufisadi,

Maggid amesema huenda, huo ni utabiri wake kutokana na anayoyasikia. Ukweli ni kwamba hakuna anayejua mpaka wakati
JK atakapopendekeza jina kwenye NEC.

Watu wengi wametabiri Makamba ataondoka lakini hakuna anayeandika kama ulivyoandika wewe maana muda wa kuchagua katibu mkuu mpya bado, labda itakuwa usiku leo au kesho baada ya wajumbe wa NEC kunywa beer zao kushangilia kuchaguliwa.
 
Kitila,
Kama unakumbuka ktk uchaguzi wa rais JK na baraza lake zima watu wengi walimshambulia sana Field Marshall aka Mzee Es wakidai kuna taratibu fulani lazima zikamilike hali kila alichosema ndio kilichotokea.
Mimi nadhani CCM siri zao huwa zina leak mapema sana na pengine hakuna utaratibu unaozungumzwa ila hufanyika kama ni formality.
Tumesikia kuhusu Msekwa kabla haya haijapitishwa na kunan uwezekano mkubwa haya yaliyosemwa kuwa kweli vile vile..
I think, JK kisha make his mind na hata hiyo kilichobaki ni kutangaza tu...mambo mengi ya CCM hayana siri.
 
Mkandara,

Nafikiri kwenye suala la Msekwa kulikuwa na siri kubwa maana hata hapa JF tulishindwa kabisa kutabiri.

Habari haikutoka mpaka baada ya kikao cha CC.
 
Mkandara,

Nafikiri kwenye suala la Msekwa kulikuwa na siri kubwa maana hata hapa JF tulishindwa kabisa kutabiri.

Habari haikutoka mpaka baada ya kikao cha CC.

Mtanzania, si kweli jina la Msekwa lili leak a weak ago.... tatizo watu hawakuliwekea maanani..
 
Back
Top Bottom