figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
masha.
crap kabisa.... sisi tunataka umeme wewe unatuletea list ya watu watakaofuja mali zetuUkifatilia sakata la Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, ni wazi kuwa hatua zoote hizi zilizochukuliwa ni za kumpunguza presha ili asife kihoro lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa atakaa nje ya post hiyo (japo kwa staili ile ya kumaliza muda wake wa utumishi wa umma). Jambo la msingi hapa ni kuanza kufikiria ni nani atamrithi bw Jairo na atakayeweza kufanya la maana katika hiyo wizara kimeo?
This is the proposed list
1. Christopher Sayi
2. John Haule
3. Eng. Omar Chambo
4..........?
5..........?
Bwana Mipangomingi nadhani umejinyima fursa muhimu ya kuliokoa taifa hili! Binafsi nadhani ungeomba hiyo nafasi wewe!Ukifatilia sakata la Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, ni wazi kuwa hatua zoote hizi zilizochukuliwa ni za kumpunguza presha ili asife kihoro lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa atakaa nje ya post hiyo (japo kwa staili ile ya kumaliza muda wake wa utumishi wa umma). Jambo la msingi hapa ni kuanza kufikiria ni nani atamrithi bw Jairo na atakayeweza kufanya la maana katika hiyo wizara kimeo?This is the proposed list1. Christopher Sayi2. John Haule3. Eng. Omar Chambo4..........?5..........?
Kufuatia Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, Bwana David K. Jairo, kupewa likizo kwa muda, Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo, amemteua ELIAKIM CHACHA MASWI, kuwa KAIMU KATIBU MKUU, Wizara ya Nishati na Madini kuanzia leo tarehe 22 Julai, 2011. MASWI, kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.
wizara hii imekuja kuchafuka saana awamu ya nne why?
vasco da gama??!!hv huyu alikuaga explorer au?duh umenichekesha sana yani we ni kichwa!wizara hii imeanza kulaniwa toka Vasco da Gama II alipokuwa waziri. Ndo akaanza mikataba mibovu ya IPTL
jamaa naona wamerogwaHiyo wizara inataka mtu makini na shupavu ili iende mbele.