Katibu Mkuu Mpya Nishati na Madini

Mipangomingi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,713
2,058
Ukifatilia sakata la Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, ni wazi kuwa hatua zoote hizi zilizochukuliwa ni za kumpunguza presha ili asife kihoro lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa atakaa nje ya post hiyo (japo kwa staili ile ya kumaliza muda wake wa utumishi wa umma). Jambo la msingi hapa ni kuanza kufikiria ni nani atamrithi bw Jairo na atakayeweza kufanya la maana katika hiyo wizara kimeo?

This is the proposed list
1. Christopher Sayi
2. John Haule
3. Eng. Omar Chambo
4......
5..........
 
Hata Christopher Sayi ni engineer (tena wa kutoka Ikungulyabashashi). Kwa nini hujaweka Eng. kutangulia jina lake?
 
Kweli mkuu huyu ni Engineer, lakini huwa hajinasibu saaana na ID hiyo kama huyo bw. Chambo-any way, nakubaliana na hoja so

Engineer Sayi
 
Back
Top Bottom