Katibu mkuu kiongozi na kiatu cha Luhanjo

MPUITI

Member
Sep 24, 2011
20
1
Wanajamii nawauliza, Katibu Mkuu Kiongozi aliyeteuliwa sasa, atakiweza kiatu cha Mh. Luhanjo na timu yake iliyopo? au atahitaji kuipanga upya. na Kama ndiyo ni lini ataifanyanya kazi hiyo?? Maendeleo ni sasa na mabadiriko ya Ari mpya, Kasi Mpya na nguvu mpya ni sasa.
 
Luhanjo alifanya nini cha ajabu?Naona ni yale yale tu.
 
Wanajamii nawauliza, Katibu Mkuu Kiongozi aliyeteuliwa sasa, atakiweza kiatu cha Mh. Luhanjo na timu yake iliyopo? au atahitaji kuipanga upya. na Kama ndiyo ni lini ataifanyanya kazi hiyo?? Maendeleo ni sasa na mabadiriko ya Ari mpya, Kasi Mpya na nguvu mpya ni sasa.

Broda!
Maswali yako ni magumu kidogo!...ratiba yake ya kuanza kazi ni kutokea siku ya uteuzi!
Ishu ya kuwaweza au kuwaogopa anaowakuta pale ndiyo hasa qualities zake za uongozi, yaani anataka awe na mwonekano gani akiwa kazini!
Hapo kwenye RED umeniboa ,maana hiyo kauli ni MFU, na haijawahi kufanya kazi hata ya kufukuza inzi!
 
katibu mkuu kiongozi, naibu katibu mkuu kiongozi, katibu mkuu, naibu katibu mkuu......mh!
amakweli mwenye nacho atazidi kua nachotu.
 
There is no way he can be a performer.Baba yao mwenyewe ni kihiyo,unategemea nini.Like father like son.
Wanajamii nawauliza, Katibu Mkuu Kiongozi aliyeteuliwa sasa, atakiweza kiatu cha Mh. Luhanjo na timu yake iliyopo? au atahitaji kuipanga upya. na Kama ndiyo ni lini ataifanyanya kazi hiyo?? Maendeleo ni sasa na mabadiriko ya Ari mpya, Kasi Mpya na nguvu mpya ni sasa.
 
Inasemekana kuwa samaki huoza toka kichwani, sasa utategemea mkia uwe salama?
 
Back
Top Bottom