Jamani hata kama awe na vithibitisho mia vya mkosaji but taratibu na kanuni zitafuatwa kama katiba inavyosema.katiba iko pake kumlinda mshtaki na mshtakiwa jamani tuwe wapole.ukifanya maamuzi bila kufuata katibu eti sababu ushahidi uko wazi jamaa anaweza kwenda mahakamani na kushinda rufani yake.tutulie muda si mrefu kitajulikana.