Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
sitasema chochote juu ya hili,
nahisi mchango wangu utasababisha uvunjifu wa amani.
Ama lipo mahakamani usije ukaingilia mambo ya mahakama
sitasema chochote juu ya hili,
nahisi mchango wangu utasababisha uvunjifu wa amani.
Kufunga wakati huu wa ramadhani ni sehemu ya ibada kwa muumini wa dini ya kislam. Nijuavyo au ninavyoamini ibada ni juu mtu na mungu wake. Lazima itoke rohoni kwake maana mbele ya mungu hakuna unafiki. Unaweza ku-pretend kufanya jambo mbele ya binadamu mwenzako lakini sio mbele ya mungu.
Tukirudi kwenye ibada ya kufunga, muumini anatakiwa aoneshe kushinda vishawishi kwa kutokula siku nzima. Lazima itoke rohoni na sio kwa kulazimisha. Sasa hii ya kulazimisha watu inatoka wapi? Kama mtu hakufunga kula (ibada) kinakuhusu nini maana ni juu yake na mungu wake?
Tena sio mabadiliko ya ratiba tu, bali hata kiwango cha chakula. Aliyekuwa anakula robo kilo ya mchele wakati usio wa mfungo, sasa hivi anatumia nusu kilo!Hapa hakuna kufunga, ukweli ni kwamba kilichotokea ni mabadiliko ya ratiba ya kula. Badala ya kula mchana mnakula usiku.
Mathayo 6:16 -18 Mnapofunga, msiwe na huzuni kama wanafiki. Wao hukunja nyuso zao wapate kuonekana na watu kuwa wanafunga. Nawaambieni hakika, hao wamekwisha pata tuzo lao. Wewe lakini unapofunga, paka kichwa chako mafuta, nawa uso wako, ili mtu yeyote asijue kwamba unafunga, ila ujulikane tu kwa Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika atakutuza. | |
i |
Umeamini sasa kama serikali ina dini ?
,Katiba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya mwaka 1984 (Toleo la 2010) katika Kifungu cha 19 (1) inasema:
Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, wa imani na wa uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa kubadilisha dini au imani yake.
Kifungu kidogo cha (2) kinasema: Bila kuathiri sheria zinazohusika na kazi ya kutangaza dini na kueneza dini itakuwa huru na jambo la hiyari ya mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.
Kama hivyo ndivyo:
1. Kwa nini Waumini wa dini nyingine (wasio waislamu) huko Zanzibar kwanini wanalazimishwa kuwa na mfungo wa Ramadhan kinyume na imani zao?
2. Kwanini kiongozi wa serikali (SMZ) ahimize kwamba wale wote wataokwenda kinyume na matakwa ya mfungo atachukuliwa hatua za "KISHERIA?"
Leo UKWELI umejidhihirisha CHADEMA wanasimamia MASLAHI ya nani!
Wewe usiwe na akili kama mbuni. Hoja imetolewa na mbunge mchungaji wa CHADEMA, hivyo CHADEMA imedhihirisha inatetea maslahi ya kundi gani!
ZNB ni ka nchi kanako ongozwa na watu wenye msisimko wa ufisadi na tabia za kupenda ubinafsi kupita kiasi, wakijidai wanautauwa na uchaji wa Mungu kumbe asilimia kubwa wanapenda: KUOA WAKE WENGI,Kupenda waganga, wapiga ramli, uasherati! Hawana udini wowote wa kufananisha hawajitambui. Hako kamkoa sikapendi hata kukasikia nikiona wabunge wa kutoka huko hata kwenye tv nasikia hasira!! aagrr,aah!! Alafu ooh Tanganyika inatutawala nyie tuwatawale mnanini kweli hamjijui mnatunyonyo na kututesa,
Wewe acha kuongea pumba mafisadi wakubwa dunia hii ni Watanganyika, waganga na washirikina wenye imani potofu wako Tanganyika, hujapatapo kusikia Wazanzibari kuuwa vizee kwa kisingizio cha uchawi, kuuwa walemavu wa ngozi kwa sababu za kishirikina. Zanzibar ina ustaarabu wake na Tanganyika ina ustaarabu wake.Watanganyika ni watu mmekosa imani kwenye nyoyo zenu mnauwana kwa shilingi mia tu, kila siku tunayaona kwenye vyombo vya habari.Infact, we have nothing in common. Katiba ya Zanzibar kukiukwa isimuumize kichwa Mtanganyika kwa sababu haimuhusu. Zanzibar for Zanzibaris:A S angry:ZNB ni ka nchi kanako ongozwa na watu wenye msisimko wa ufisadi na tabia za kupenda ubinafsi kupita kiasi, wakijidai wanautauwa na uchaji wa Mungu kumbe asilimia kubwa wanapenda: KUOA WAKE WENGI,Kupenda waganga, wapiga ramli, uasherati! Hawana udini wowote wa kufananisha hawajitambui. Hako kamkoa sikapendi hata kukasikia nikiona wabunge wa kutoka huko hata kwenye tv nasikia hasira!! aagrr,aah!! Alafu ooh Tanganyika inatutawala nyie tuwatawale mnanini kweli hamjijui mnatunyonyo na kututesa,
Mkuu asante sana kwa kunikumbusha na hili la kiasi cha chakula, nilikuwa nimelisahau kabisa.Tena sio mabadiliko ya ratiba tu, bali hata kiwango cha chakula. Aliyekuwa anakula robo kilo ya mchele wakati usio wa mfungo, sasa hivi anatumia nusu kilo!