Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba ya Tanzania

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by salisalum, Dec 3, 2010.

 1. s

  salisalum JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Katiba ya nchi ni jambo linalogusa watu wote. Kwa hapa Tanzania nauliza tutumie lugha gani rahisi itayoenda kwa kila raia mwenye umri wa miaka 18 ili kumwelewesha na kumwezesha kuona umuhimu na uhusiano wa katiba ya nchi na maendeleo yake?

  Watanzania wengi huenda (sina hakika na hili hadi kuwe na utafiti) hawajui hata katiba ni nini na inasaidia nini. Ndiyo maana msimamo wa chama tawala ni kuwa matatizo ya katiba yetu ni madogo tu yanaweza kurekebishwa na bunge na wananchi wanakubali hivo. Na wengi wanaweza kuona kwa muktadha huo kwamba wanaodai katiba ni watu wakorofi tu. Can we critically look at this?
   
Loading...
Similar Threads Forum Date
Nahitaji katiba ya Tanzania Jukwaa la Sheria (The Law Forum) Mar 15, 2016
Katiba ya tanzania Jukwaa la Siasa Dec 8, 2013
Gongo katiba ya tanzania Jukwaa la Sheria (The Law Forum) Oct 15, 2012
Nakala ya katiba ya Tanzania Jukwaa la Sheria (The Law Forum) Aug 21, 2012
Katiba ya tanzania ishitakiwe Jukwaa la Siasa Oct 5, 2011

Share This Page