Katiba ya tanzania ishitakiwe

montroll

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
319
126
Juu ya katiba kuna nini? Hakuna juu yake? Mahakama ipi naweza ishitaki katiba? Kwa sheria iliyo ndani ya katiba ipi? Na hiyo katiba yenye sheria ya kuishitaki katiba, inashitaiwa na mahakama ipi?

Plz plz help! Am confused.
Tuishitaki katiba iliyopo sasa, isimamishwe, zitolewe siku 90 za kuunda katiba mpya. Mahakama iamue kwamba serikali na vyama vya siasa visihusike kabisa. Wananchi wakiongozwa na wasomi huru na makini pamoja na asasi za kirai ndio wahusike.
No,no,no,nooooo.....katiba gani hii?
Ah! Mi sijuwi ......kwanini lakini?
Why?
Katiba gani inalazimisha watu tuingie mtaani na kumwaga damu? Tupigane wenyewe kwa wenyewe kama libya na misri?

NO, some where there must be a place where this constitution can be sued and disqualied, unless the world have not yet seen civilization.

Katiba hii ni zaidi ya majambazi, ni gereza la maisha la watu wasi na hatia!
Plz plz help.
 
Back
Top Bottom