RAJ PATEL JR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 743
- 169
Wewe nawe kwa kuripuka tu na kukurupuka mwisho!!! No wonder watu wanakutuhumu fisadi maana hakuna kitu huko juu!!!
get the facts!
Wewe nawe kwa kuripuka tu na kukurupuka mwisho!!! No wonder watu wanakutuhumu fisadi maana hakuna kitu huko juu!!!
get the facts!
Nchi zote za Afrika zilianzishwa na wazungu bila kuzingatia tofauti za lugha, ukabila, kidini na utamaduni wa watu. Kama kuna mtu anayefikiri kuna uwezekano wa nchi yeyote (isipokuwa Somalia) ambayo ingebuni sera za kikatiba ikifuatilia utamaduni wa wananchi walio katika nchi hio pekee (kama vile eliakeem anawashiria kwa kipachiko chake ), huyo mtu hafahamu kabisa ugumu na utata unayokumba mataifa ya Afrika. Kenya, Tanzania, Nigeria, Africa Kusini, na nchi zinginezo haziwezi linganishwa na nchi kama vile ufaransa, uingereza, uhispania au ureno ambazo ziliundwa kufuatilia mila na lugha. Pia, nchi nyingi hazikuwahi kutawalwa na wakoloni kama ilivyo hapa. Wakati tulipopata uhuru, tuliridhi institutions za wakoloni na hata wa leo, sera nyingi hapa Afrika zinafuatilia sera za ukoloni.
The problem is; it doesn't protect minority Kenyans, and it's also anti-business
Instead of making sweeping/general claims, why don't you specify how the constitution fails to protect minorities (preferably by pointing out the relevant sections). Would you also mind providing insights on how the constitution (having been endorsed by Kenya Private Sector Alliance and the Kenya Association of Manufacturers) is bad news for business?
Otherwise we are going to think that your claims are unfounded, and that you have a habit of saying things you know nothing about.
Yes, it's a bad news for Asian investors:eek2:
get the facts!
Asians voted overwhelmingly for the draft. I would advice you to do some investigations before making uninformed claims, coz you now really sound like a dumbass.
Tufanyeje ili tuwe na vitu vya asili ya kwetu, MAANA VYA KUIGA VIMETUSHINDA,Nchi zote za Afrika zilianzishwa na wazungu bila kuzingatia tofauti za lugha, ukabila, kidini na utamaduni wa watu. Kama kuna mtu anayefikiri kuna uwezekano wa nchi yeyote (isipokuwa Somalia) ambayo ingebuni sera za kikatiba ikifuatilia utamaduni wa wananchi walio katika nchi hio pekee (kama vile eliakeem anawashiria kwa kipachiko chake ), huyo mtu hafahamu kabisa ugumu na utata unayokumba mataifa ya Afrika. Kenya, Tanzania, Nigeria, Africa Kusini, na nchi zinginezo haziwezi linganishwa na nchi kama vile ufaransa, uingereza, uhispania au ureno ambazo ziliundwa kufuatilia mila na lugha. Pia, nchi nyingi hazikuwahi kutawalwa na wakoloni kama ilivyo hapa. Wakati tulipopata uhuru, tuliridhi institutions za wakoloni na hata wa leo, sera nyingi hapa Afrika zinafuatilia sera za ukoloni.
Tufanyeje ili tuwe na vitu vya asili ya kwetu, MAANA VYA KUIGA VIMETUSHINDA,
MFANO MDOGO TU NI MUSEVENI, KATIBA YA NCHI (IMEDURUFIWA TOKA NCHI ZA MAGHARIBI) INASEMA UKOMO WA URAIS NI MIAKA 10, LAKINI MUSEVENI ANANG'ANG'ANIA KUTAWALA ZAIDI YA KIPINDI HICHO, KWA MTAZAMO WA MUSEVENI HILO SI KOSA KWA SABABU KATIKA UTAWALA WA MACHIFU AMBAYO NI ASILI YAKE, MFANO KABAKA HAKUNA KIKOMO CHA MUDA WA UTAWALA.
MWISHO, KWA KUWA KATIBA ZETU NI MRUDUFU WA ZILE ZA MAGHARIBI NDIYO MAANA KUNA MWANYA MKUBWA SANA WA UTEKELEZAJI KATI YA YALE YALIOANDIKWA KWENYE KATIBA NA UTENDAJI HALISI (KUIFUATA).
Capitalism triumphs in west, but fails every where (de Soto). I mean every system established in west, do well in their territories, but fall shorts in our lands. what should we do so as to have our thing (of Africa origin) which is easy to implement on the ground and last longer?Well those position were informed by the fact that Kenyans needed and demanded devolution of resources. Lack if this devolution is what caused a lot of the inequalities that exists in Kenya today, it was also a major contributor to the post election violence of 2007. Now with devolution of resources come devolution of power as people need to elect people that will manage their resources at the grass root. The names senator or Governor are just that ....name, its the system that u should try to understand. Also try to understand where Kenya is coming from and all this will begin to make sense.
This is not about copying if it was then i guess we all do copy from others, its about finding a system that suits your country and reflects yout needs and aspiration.
Capitalism triumphs in west, but fails every where (de Soto). I mean every system established in west, do well in their territories, but fall shorts in our lands. what should we do so as to have our thing (of Africa origin) which is easy to implement on the ground and last longer?
Tafadhali nijibu Mnarb
nafikiri hii ya mtu akichemka anatolewa ni nzuri ili kuwafanya watu kuto-kubinafsisha majimbo kama ilivyo kwa tanzania, mtu anachemka miaka kibao but the system makes him/her returns by corruptions or other means.wana jf,
katika kupitia gazeti la kenya leo daily nation naona hawa ndugu zetu wa kenya katiba yao ina mwelekeo kama fumo fulani wa usa naona watu wanagombea majimbo yanakuwa na watu wanatakao waongoza kwa majimbo yao na kila jimbo kujitegemea na ukichemka tu kama kiongozi inakula kwako.
Not good for business, it supports xenophobia and racism for the minorities!
Capitalism triumphs in west, but fails every where (de Soto). I mean every system established in west, do well in their territories, but fall shorts in our lands. what should we do so as to have our thing (of Africa origin) which is easy to implement on the ground and last longer?
Tafadhali nijibu Mnarb
Mkuu, i think capitalism, with a bit of socialism in managing it, is optimal..the anarchy of both is deadlier. The Social part of it, is important because of our level of development, so that it can't breed the the primitive wealth accumulators of Moi, Biwot, Matiba, Kenyatta, Mkapa, Rostam and Lowassa type. Please Read: The Age of Turbulence (a good masterpiece btw) by Alan Greenspan, though was a chairman of the fed himself, he admits you need a bit of socialism even in developed economies. But still capitalism is a trigger and an a engine of economic growth. Kenya's i think, was a primitive capitalism, that's why majority of them are still poorer than the former socialist Tanzanians. Without capitalism, the existence of capital owners, everybody will be a boss, nobody will work..you know the outcome!
Its all good,katiba ya US ndio imefanya US superpower & Democratic...hope will do the same for Kenyans,nafikiri wakiwa serious na kufuata vizuri kenya in 20 yrs watakuwa out of africa.