Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

Unapenda Muundo Gani wa Muungano


  • Total voters
    210
Mod naomba u-stick, kura ya maoni tu. kama huogopi, maana imenishtusha sana kuona matokeo ya awali. Haya mambo mengine unaweza ondoa tu.

Au unaogopa kivuli chako.
 
Mod naomba u-stick, kura ya maoni tu. kama huogopi, maana imenishtusha sana kuona matokeo ya awali. Haya mambo mengine unaweza ondoa tu.

Au unaogopa kivuli chako.

Waoga lakini katika hili hamna cha kuogopa, linatusaidia wote. Hata CHICHIM
 
Jf wakifika 400 katika hii kura kwa mwenendo huu. Kazi ipo. Tutapoteza hele bure hapa. Itabidi tuanze kwanda hata na kura ya dodoso au data collection kuhusu aina ya muungano. Naona kuna tatizo.
 
Kwa jinsi mambo yalipofikia kuongoza nchi hii nadhani bora kwanza muungano uvunjwe na turudishe Tanganyika na Zanzibar warudishiwe nchi yao. Na baada ya hapo tujadiliane kuungana tena kwa mikataba mizuri ambayo itamridhisha kila mmoja ili tuwe mfano ktk mifano duniani.

Kwani huu muungano uliokuwepo hauna muelekeo kabisaa na hata hakuna anaejua mikataba imekaaje yaani tupo tupo tu kama vipofu ambae haoni.

Na sidhani kama ni haki kusema watu wasiujadili muungano mimi naona ni haki ya kila mwananchi kuujadili kwasababu yanatuhusu wote.

Lakini tatizo kubwa lipo kwetu Tanganyika kwasababu wengi wetu hawana elimu nzuri ya kuhusu huu muungano na nauhakika kabisa kwamba wengine wanaufahamu kwamba ni nchi moja au Zanzibar ni mkoa na hata wengine hawajui tofauti ya Unguja na Pemba ipo vipi au Zanzibar inahusika vipi na Unguja na Pemba.

Nasema hivo sio kama natania kama nimekutana na zaidi ya watu watano ambao ramani ya nchi yetu ni zero.
 
Kumbe wapo wanaotaka serikali moja? Hii ingekuwa safi sana
Kwangu ni ama serikali moja au muungano kuvunjika, hakuna cha serikali tatu (ambayo ni mzigo ingawa kwa mbali naweza kuikubali shingo upande) wala serikali mbili (ambayo naikataa katakata)
 
Kwangu ni ama serikali moja au muungano kuvunjika, hakuna cha serikali tatu (ambayo ni mzigo ingawa kwa mbali naweza kuikubali shingo upande) wala serikali mbili (ambayo naikataa katakata)

Hii ni nzuri. Lakini sijui hata Karume angekubali.
 
Habari njema hii lazima tuwe na serikali tatu.Tunataka Tanganyika irudi ,hebu jiulize swali rahisi: Neno Tanzania ni matokeo ya nini na nini?, Na kwanini Tena kuwepo serikali ya mapinduzi zanzibar na kusiwepo serikali ya Tanganyika.Eti tunapunguza hasira za watanzania kwa kuwadanganyia na maneno ya Tanzania bara na Tanzania visiwani.Lakini hakuna historia inayoonesha kuwepo kwa muungano kati ya Tanzania bara na Tanzania visiwani,otherwise maneno haya yana maanisha kwamba hata watawala wetu wana taka serikali tatu bila kujua,
 
Hapa sasa hakuna siri tena, siri imefichuka. Kura ya maoni inahitajika haraka sana. Nilifikiri mwamsho wanatania?
 
Hapa sasa hakuna siri tena, siri imefichuka. Kura ya maoni inahitajika haraka sana. Nilifikiri mwamsho wanatania? Ngoja niwaambie, "Kubisabisa birueri ikirirero kirimbura". Wazanakia mnisahihishe hapa. Yani mficha maradhi kifo kitamuumbua.
 
Sijui tume huwa wanasoma haya mambo mengi humu JF. Maana natabiri zero work at the end. Wawe makini sana.
 
Zanzibari hawatutaki na sisi hatuwataki ila CCM inataka Muungano,sasa Muungano ni wa wananchi au wa CCM??
 
Tunataka serikali moja tu na znz iwe na hadhi ya wilaya moja kwani haina ata hazi ya mkoa wa mwanza au kilimanjaro kuanzia mapato hadi idadi ya watu iwe wilaya tu ambayo itawakilishwa na wabunge wawili(majimbo mawili) iyo ndo inafaa kwa sasa

haina hadhi lakini bado mumeishikilia na kuiwacha mumeapa abadan..shenz wahed
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom