Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 697
Ndugu waTanganyika wenzangu, tumeshapigwa changa la macho. Hivi mnajua tume ya katiba iliyoundwa imeshaondoa uwezekano wa Serikali ya Tanganyika Kurudi.
Kwa kuwa hiyo tume ya katiba, haina mamlaka ya kutengeneza rasimu ya katiba ya Tanganyika, na wanafikiri watu wanakubali serikali mbili.
Kwa sababu hiyo tayari tume hiyo, kwetu sisi watanganyika, imefanya kitu kinaitwa pridjudice (yaani uamuzi kabla ya kupata maoni kuhusu aina ya muungano), na hi si haki, si haki kabisa.
Je kama ilivyo sasa, katika dodoso zangu, kwamba wananchi wengi wakapenda Mungano wa dola tatu. Nani ataandika rasimu ya katiba ya Dola la Tanganyika?
Nani atapitia katiba ya Dola la Zanzibar kurekebisha mswala ya muungano. Pamoja na Mhe Jaji Warioba kuruhusu, mjadala kwa uwazi, kuna haja ya kurejea Mswada wa kuunda tume ya katiba na kuweka hatua mbalimbali za utendaji.
Mapendekezo:
1. Aina ya muungano
a. Mjadala
b. Kura ya maoni
c. Ma/Bunge la/ya katiba (Subject to discussion)
2. Rasimu ya katiba
a. Mjadala
b. Rasimu ya katiba
c. Ma/Bunge la/ya katiba
d. Kura ya/za maoni (katika vipengele mbalimbali)
e. Uchaguzi
f. Urekebishaji wa sera kuendana na katiba
Sasa hakuna haja ya kuelewana vibaya hapa. Suala ni kuwa watu tunaokwenda kitaalam. Hii ni kuchokonoa wa JF na Tume ya katiba kujitathmini.
Tusije tukatumia fedha na muda mwingi, halafu mwisho tukaambulia patupu. Ikitokea hivyo itakuwa aibu kwa Raisi, Serikali, Bunge hata sisi wananchi hatuta kuwa ubavu wa kuzungumza hata na wakenya tu. Katika hili tuachane na unafiki wa kuunga hoja asilimia mia moja halafu kuikosoa hoja hiyohiyo kama vile mtu ana nafsi mbili.
Tume inajibatilisha kwa hizi predjudice.
Nawakilisha, mkiniangusha, shauri yenu. Kabla ya kupiga kura hakikisha umelog in.
Kumbe Zito naye ana mawazo mbadala, soma hapa http://www.mwanabidii.com/showthrea...ndo-wa-Muungano-Serikali-Tatu-Moja-Mbili-Zote
I declare my interest: Napenda serikali tatu ili tuweze kupanua muungano na nchi nyingine.